GE2025 Rais Samia: Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono tu basi utu kidogo unakuwa na wasiwasi." Amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Samia amebainisha hayo leo Jumamosi Septemba 20, 2025 wakati wa mkutano wake wa kampeni Chake Chake Pemba kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale, akisema Chama Cha Mapinduzi kimedhamiria kwa vitendo kutekeleza kaulimbiu yake ya mwaka huu ya "Kazi na Utu, Tunasonga Mbele"

Death is just death
1758381329352.jpeg
 
Hii kauli mbiu mbona haina mvuto.

Au ni mtoa kauli mbiu hana mvuto
 
sijawahi kuona wala kusikia muslim akifanya kazi ktk maisha yangu, si kwenye nchi masikini kama tanzagiza au hata zilizoendelea, sijawahi kuona mkulima muslim hapa tanzagiza kwamba akiamka asubuhi kwenda shambani na kupiga mzigo siku nzima, ninachoona ni uchuuzi na utapeli, show off na kutumia na kutapanya hela za jasho la wengine kwenye anasa ...
 
"Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono tu basi utu kidogo unakuwa na wasiwasi." Amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Samia amebainisha hayo leo Jumamosi Septemba 20, 2025 wakati wa mkutano wake wa kampeni Chake Chake Pemba kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale, akisema Chama Cha Mapinduzi kimedhamiria kwa vitendo kutekeleza kaulimbiu yake ya mwaka huu ya "Kazi na Utu, Tunasonga Mbele"

View attachment 3476720
Unaoopa kivuli chako...tu bia haki sio sawaaas...umetekwa na mtandao dawa tunayo ni moto tuuuuu.....choa lirries zote za makaa mawe
 
Back
Top Bottom