Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena

Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo

Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi wataingiza magari na serikali itapata mapato makubwa ,

NB;Ushuru uwe kama Zanzibar Tu WA kuingiza magari bara
 
Kulia gharama kupunguzwa ni uongo. Lia kuongezwa kipato cha watu, mishahara kwa wafanyakazi nk.
 
Me naona kodi ipunguzwe kwa latest cars, kuanzia 2010 kushuka chini bei iwe juu
 
Back
Top Bottom