Rais Samia, tunaomba Umtoe Mkurugenzi wa NBS, atatuharibia Sensa. Hili ni suala la Kitaifa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa, tunaomba apumzishwe ili kazi hii ya Sensa iende Vizuri. Hili ni Suala la Kitaifa si Swala la CCM. Kila mtanzania anatakiwa ashiriki hata asiyekuwa na chama.

Tutafute Mtu asimamie Sensa kwa Manufaa ya Nchi. Dk Chuwa tunamshukuru kwa muda wote aliofanya kazi NBS, apangiwe kazi nyingine. Tunafanya hivi kwa Manufaa ya Umma na Taifa kwa Ujumla.

Sheria ya Takwimu inaumiza sana Nchi. Pale NBS weka mtu mwenye uchungu na Nchi hadi hili jambo lipite ndo tuendelee na mambo ya Mazoea.

Mtakwimu huyu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, anadai eti tathmini iliyofanywa hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini asilimia 97 ya Watanzania wako tayari kuhesabiwa. Na Rais Samia akaaminishwa hivyo. Wakati kuna Sehemu hata hawajui tarehe ni lini, Au hawajapewa hela ya kuzunguka nchi kutangaza au kutumia Mitandao ya kijamii?

Sifurahii kuona hii Sensa inaenda vibaya sababu ya watu wachache wanaotaka kumharibia Rais Samia aonekana anabeba watu.

Tunaomba Kamishina wa Sensa Anna Makinda, apewe mtu sahihi wa kufanya naye kazi, Makinda kajitengenezea heshima kubwa kwa muda mrefu, Msimchafulie CV yake.

Pia kama ameamua kufanya kazi na vyama vya Siasa, angeita vyama vyote akae navyo kuliko kushirikisha CCM tu na vyombo vyake vya habari

Screenshot 2022-07-26 105855.png

Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa
 
Serikali yenyewe inasema vitu vinapanda Bei afu NBS wanasema mfumko wa bei ni 4% kutoka 3.9%.

Huku Watanzania wanalala ugumu wa maisha
 
Huyo mkurugenzi kama wakimtumbua watakua wanamtoa sadaka tu, unamlaumu kwa kutoa taarifa za uongo kuhusu sensa.

Wao NBS wanasema wamefanya tathmini yao wakaja na hayo majibu, kama nawe ulifanya tathmini yako utuambie ulipata asilimia ngapi wanaojua kuhusu sensa.

Zoezi la sensa limetangazwa kwa njia mbalimbali, radio, tv, na magazeti, ni watanzania wachache sana wasio na radio waweze kujua nini kitakuwepo Agosti, 23.

Kuhusu kuwashirikisha CCM na vyombo vyake kwenye hilo zoezi, naamini hayo ni maelekezo maalum toka juu, hata Makinda anaweza kuwa anahusika hapa, huu mchezo CCM huufanya kwenye kila tukio linalohusu ajira, asilaumiwe huyo mama pekee.
 
Huyu Mama wa Takwimu ni muungwana sana, na anajali. Sijui kwa nini mleta mada anamzushia hizi tuhuma.
 
Akipumzishwa Nadhani Muda Umebaki Kiduchu
CCcm Ndiyo Wanaharibu Jambo
 
Mkuu Dkt.Albina Chuwa amaekuwepo NBS muda mrefu na hatukuona haya mambo.Hapo badilisha Mama Makinda ndiyo apangiwe kazi nyingine maana mjumbe wa CC ya CCM mstaafu.Senkyuu vere macheee....
 
Uko right......ni mpumbavu tu atakaye changanya sensa na siasa..
 
Mkuu Dkt.Albina Chuwa amaekuwepo NBS muda mrefu na hatukuona haya mambo.Hapo badilisha Mama Makinda ndiyo apangiwe kazi nyingine maana mjumbe wa CC ya CCM mstaafu.Senkyuu vere macheee....
Tanzania bana, na hao wastaafu kama Mama Makinda bado wamo tu wanateuliwa kwenye uongozi hadi wa leo, tangu enzi za Nyerere, na sijui hakuna vijana wa kuandikwa kazi kama hizo???? Kaazi kwelikweli.
 
Huyu Mama wa Takwimu ni muungwana sana, na anajali. Sijui kwa nini mleta mada anamzushia hizi tuhuma.
Basi anatumika. Tatizo mambo ya kitaifa mfano Sheria ya Takwimu ina mapungufu yanayo athiri kazi za utafiti zinazofanywa na wadau na watafiti ambazo huchangia maendeleo ya Taifa. Mfano wao ndo wanasema Uchumi unakua, kama NBS aseme uchumi unakuwa ukapinga, ni kosa kisheria.

Unaweza hata kufungwa. Na hii sheria mbaya ya takwimu ilipitishwa yeye yupo. Leo hii tumpe sensa, ambapo kuchua barua Serikali za Mitaa hupewi hadi uwe na kadi ya CCM. Hupati kazi yoyote ya Sensa kama sio mwanachama wa CCM, hata Udereva wala kupika chakula wakati wa Semina elekezi za NBS.

Inawezekana wa chini yake ndo wanakosea ila yeye ndo kabeba dhamana yao. Awajibishwe yeye
 
Bora usihesabiwe tu ,hesabu yako haina faida sisi tutahesabiwa
 
Kwahiyo kuna wazazi watoto wao wamerudi nyumbani lakini hawajui sababu ya kurudishwa kabla ya likizo?
 
Salaam Wakuu,

Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa, tunaomba apumzishwe ili kazi hii ya Sensa iende Vizuri. Hili ni Suala la Kitaifa si Swala la CCM. Kila mtanzania anatakiwa ashiriki hata asiyekuwa na chama.

Tutafute Mtu asimamie Sensa kwa Manufaa ya Nchi. Dk Chuwa tunamshukuru kwa muda wote aliofanya kazi NBS, apangiwe kazi nyingine. Tunafanya hivi kwa Manufaa ya Umma na Taifa kwa Ujumla.

Sheria ya Takwimu inaumiza sana Nchi. Pale NBS weka mtu mwenye uchungu na Nchi hadi hili jambo lipite ndo tuendelee na mambo ya Mazoea.

Mtakwimu huyu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, anadai eti tathmini iliyofanywa hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini asilimia 97 ya Watanzania wako tayari kuhesabiwa. Na Rais Samia akaaminishwa hivyo. Wakati kuna Sehemu hata hawajui tarehe ni lini, Au hawajapewa hela ya kuzunguka nchi kutangaza au kutumia Mitandao ya kijamii?

Sifurahii kuona hii Sensa inaenda vibaya sababu ya watu wachache wanaotaka kumharibia Rais Samia aonekana anabeba watu.

Tunaomba Kamishina wa Sensa Anna Makinda, apewe mtu sahihi wa kufanya naye kazi, Makinda kajitengenezea heshima kubwa kwa muda mrefu, Msimchafulie CV yake.

Pia kama ameamua kufanya kazi na vyama vya Siasa, angeita vyama vyote akae navyo kuliko kushirikisha CCM tu na vyombo vyake vya habari

View attachment 2304298
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa
Utafikiri mtoto wa kike. Sasa na chama chako si wangeandika barua halafu uone kama ccm wamependelewa?
 
Sifurahii kuona hii Sensa inaenda vibaya sababu ya watu wachache wanaotaka kumharibia Rais Samia aonekana anabeba watu.[emoji1533][emoji1534]
 
Mtakwimu huyu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, anadai eti tathmini iliyofanywa hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini asilimia 97 ya Watanzania wako tayari kuhesabiwa. Na Rais Samia akaaminishwa hivyo. Wakati kuna Sehemu hata hawajui tarehe ni lini, Au hawajapewa hela ya kuzunguka nchi kutangaza au kutumia Mitandao ya kijamii?
Ingekuwa ni swala la uchaguzi ndio ungejua serikali ya ccm huwa iko serious kiasi gani🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom