Rais Samia tunataka Starlink Tanzania

Rais Samia tunataka Starlink Tanzania

Kwani samia ndio ataleta starling huku bongo? Acheni uboya. Nyie ndio kila kitu mnaona rais ndio inatakiwa kufanya.

Kila mtu utamsikia, tunaomba rais samia atufanyie hiki, Kyle tunamwomba rais samia utufanyie kile...yaani kama hanna akili vile. Nonsense.
 
Yes, she is the problem, serikali anayoongoza ndio wamezuia Licence for star links to operate, na sababu walizotoa doesn’t make any sense, you can tell hawajali wananchi zaidi ufisadi wao na maslahi ya wachache
 
Mtanzania analilia ugali wa ELon Musk , hama kweli wajinga ni wengi....Hkuna kitu kitabadilika hata iletwa ni ule ushabiki tu .
Hakuna mtu analilia ugali wa mtu, is a business na sio bure tutalipa with our own money, internet connection sio ushabiki ni huduma muhimu sana kama umeme tuu na maji, serikali wanatufanyia uhuni wa kipuuzi sana kwa kuzuia licence bila sababu ya msingi
 
Unapenda ushabiki maandazi
 
Hujafungiwa mziki na kuletewa wasanii huko mkate maunooo
Maana hilo ndilo jambo kubwa kwenu mnalolionaaa

Ova
Mrangi mlivyokuwa malaya , kwanz wewe ni mtoto wa nje ya ndoa ...Yaani nyie ndiyo malaya tena mnatumika kama vocha , akili hamna kabisa.

Hata hiyo starlink huijui ni zile shobo na ushamba wa kijijini kwenu.
 
Nmeitumia rwanda nawaona wana terezaaa huko
We endelea kukata mauno tu
Ehe mziki wapi leo

Ova
Hakuna kitakachobadilika ni ushamba wako na kupenda mashindano ya kitoto ...Unakuwa na tabia za kike unapenda kujifananisha na kila mtu , tamaa hizo angalia .

Nyie warangi kwa umalay wa kugawa 😀 😀
 
Ni mambo ya ajabu sana kuona hili jambo linavyozungushwa
 
mimi nahisi hawa ISPs wakubwa kama vodacom wanafanya namna na serikali kuzuia.

mfano voda kaanza kuuza 5G routers hata miaka 3 haijaisha, ataruhusu mtu aje achukue soko?
 
Back
Top Bottom