R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Feb 6, 2025 #21 Umesahau kuwa viongozi wa hapa usipowahonga hata kama unaleta kitu chenye tija Kwa wananchi hutopata kibali?
Umesahau kuwa viongozi wa hapa usipowahonga hata kama unaleta kitu chenye tija Kwa wananchi hutopata kibali?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 6, 2025 #22 Serikali hapangiwi... Cc: Mahondaw
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Feb 7, 2025 #23 BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Kumbe bichwa komwe upo kijijini na hauko daslamu? Aisee pole sana unakosa mengi daslamu
BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Kumbe bichwa komwe upo kijijini na hauko daslamu? Aisee pole sana unakosa mengi daslamu
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Feb 7, 2025 #24 BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Mnaweza kulipia?
BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Mnaweza kulipia?