Chosen man
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 543
- 755
Upo sawa kabisa, huyu ndiye Rais anayependa urais (madaraka) kuliko Rais yoyote kuwahi kutokea hapa Tanzania.Mama anawaza tu madaraka...shida za watu hazimhusu. Huyu sio kiongozi. Ni mtawala
Gerson Msigwa ( Msemaji wa Serikali ) unateseka sana na GENTAMYCINE na kwakuwa Umejipendekeza Mwenyewe Kwangu nakuibia Siri sasa kuwa huna muda mrefu hapo unatolewa na anakuja Mtu mwingine ambaye ni Adui yako Kiutendaji na ulishawahi hata Kumtukana mwaka 2019 ulipokuwa na Kiburi na Jeuri ya kuwa chini ya Hayati 17 March, 2021.Katoe funza waliojaa kwenye ubongo wako ..
Mbolea alishasema ziko njiani na zitauzwa kwa bei ya awali,unachojua ni kupinga ila hotuba ya Rais mwaka mpya hukuisikia.
Swala la kinakabudi analizungimzia kwenye hafla zinazohusu maswala ya kiutawala na hajazungimza popote tena,hiyo imetoka.
Samia tuko kazini acha kubwabwaja ujingaπ
View attachment 2084745
View attachment 2084747
View attachment 2084748
View attachment 2084749
View attachment 2084750
Hawa waungwana wanatafuta mambo hasi yasiyo na maana ndio wanayaandikia uzi. Vitu vya maendeleo kama hivi kwenye chapisho lako wala hawawezi kuvifikiria.Katoe funza waliojaa kwenye ubongo wako ..
Mbolea alishasema ziko njiani na zitauzwa kwa bei ya awali,unachojua ni kupinga ila hotuba ya Rais mwaka mpya hukuisikia.
Swala la kinakabudi analizungimzia kwenye hafla zinazohusu maswala ya kiutawala na hajazungimza popote tena,hiyo imetoka.
Samia tuko kazini acha kubwabwaja ujingaπ
View attachment 2084745
View attachment 2084747
View attachment 2084748
View attachment 2084749
View attachment 2084750
Kwa 'Wapumbavu' wengi wataamini ila kwa 'Werevu' wachache ndiyo tunazidi tu Kuwadharau na Kuwachora."Uchunguzi wetu umebaini ni hitilafu ya umeme..."
Kamati zina kula posho tu na report zinatupwa uvunguniKwa 'Wapumbavu' wengi wataamini ila kwa 'Werevu' wachache ndiyo tunazidi tu Kuwadharau na Kuwachora tu.
ππππ Yaani ungejua hata huyo Msigwa namuonaga tuu kwenye tv.Gerson Msigwa ( Msemaji wa Serikali ) unateseka sana na GENTAMYCINE na kwakuwa Umejipendekeza Mwenyewe Kwangu nakuibia Siri sasa kuwa huna muda mrefu hapo unatolewa na anakuja Mtu mwingine ambaye ni Adui yako Kiutendaji na ulishawahi hata Kumtukana mwaka 2019 ulipokuwa na Kiburi na Jeuri ya kuwa chini ya Hayati 17 March, 2021.
GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu fulani fulani wapige Pesa na pia 'Mshauri Mswahili' kupitia Marafiki na Washirika wake Kibiashara wapewe Tenda na Yeye awekeze humo humo kwa Kificho kama afanyavyo kwa Wadhamini Wakuu wa Yanga SC akina GSM.
Soko Kuu ( Kubwa ) la Kariakoo limeungua ( ila GENTAMYCINE nasema limeunguzwa Kimkakati ) tokea mwaka Jana na mpaka leo Kamati haijaja na Ripoti yoyote ile.
Ila muda wa Kumkandia Ndugai wa Watu ulikuwepo na pia muda wa kurudia mara kwa mara kutolea Ufafanuzi ( ambao hata hivyo wenye Akili Kubwa hatujauelewa ) upo ila wa ama Kukemea hawa Wahuni ( Crooks ) wanaochoma Masoko Makubwa kwa Makusudi nchini au hata Kuwakamata upesi haupo.
Endeleeni tu kutufanya Sisi ni Wapuuzi.
Mama anawaza tu madaraka...shida za watu hazimhusu. Huyu sio kiongozi. Ni mtawala
ππππππLabda nikazie Shule za Zanzibar ndio zinaongoza kutoa vilaza... So if you know you Know
Naunga mkono hoja....tena atangaze mara moja Serikali kuwafidia na kuwawekea utaratibu wenye Afya siku za usoni...
Serikali iingie tu hasara ya kuwafidia kama sehemu ya msaada kwa watu wake au stimulus package kusaidia watu...