Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

Iliungua benki kuu mwaka 1984 sembuse soko la ilala!. Kuungua kwa majengo na masoko pengine ni uzembe wa wenye dhamana.

Pengine ni uzembe wa wiring iliyofanyika wakati wa ujenzi. Soko la Mbeya limeshaungua mara mbili, pengine ni uzembe wa mamlaka husika.
 
Katoe funza waliojaa kwenye ubongo wako ..

Mbolea alishasema ziko njiani na zitauzwa kwa bei ya awali,unachojua ni kupinga ila hotuba ya Rais mwaka mpya hukuisikia.

Swala la kinakabudi analizungimzia kwenye hafla zinazohusu maswala ya kiutawala na hajazungimza popote tena,hiyo imetoka.

Samia tuko kazini acha kubwabwaja ujinga👇

View attachment 2084745

View attachment 2084747

View attachment 2084748

View attachment 2084749

View attachment 2084750
Gerson Msigwa ( Msemaji wa Serikali ) unateseka sana na GENTAMYCINE na kwakuwa Umejipendekeza Mwenyewe Kwangu nakuibia Siri sasa kuwa huna muda mrefu hapo unatolewa na anakuja Mtu mwingine ambaye ni Adui yako Kiutendaji na ulishawahi hata Kumtukana mwaka 2019 ulipokuwa na Kiburi na Jeuri ya kuwa chini ya Hayati 17 March, 2021.
 
Hawa waungwana wanatafuta mambo hasi yasiyo na maana ndio wanayaandikia uzi. Vitu vya maendeleo kama hivi kwenye chapisho lako wala hawawezi kuvifikiria.
 
Gerson Msigwa ( Msemaji wa Serikali ) unateseka sana na GENTAMYCINE na kwakuwa Umejipendekeza Mwenyewe Kwangu nakuibia Siri sasa kuwa huna muda mrefu hapo unatolewa na anakuja Mtu mwingine ambaye ni Adui yako Kiutendaji na ulishawahi hata Kumtukana mwaka 2019 ulipokuwa na Kiburi na Jeuri ya kuwa chini ya Hayati 17 March, 2021.
😄😄😄😄 Yaani ungejua hata huyo Msigwa namuonaga tuu kwenye tv.

Kwani akitolewa wewe utafaidikaje au ndio utateuliwa? Wanaonifahamu.wanajua.mimi.hata sio Msigwa ila ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na ni mfuasi mwaminifu wa Samia sio mwanachama wa Chama chochote mimi ..

Tunakutana na Samia kwenye sera za Uchumi sio ujinga wenu wa.siasa na.vyeo,huko paruaneni ila tuu msituharibie uchumi kama Mwendazake.
 
Naunga mkono hoja....tena atangaze mara moja Serikali kuwafidia na kuwawekea utaratibu wenye Afya siku za usoni...

Serikali iingie tu hasara ya kuwafidia kama sehemu ya msaada kwa watu wake au stimulus package kusaidia watu...
 
Ajali hutokea muda wowote
GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu fulani fulani wapige Pesa na pia 'Mshauri Mswahili' kupitia Marafiki na Washirika wake Kibiashara wapewe Tenda na Yeye awekeze humo humo kwa Kificho kama afanyavyo kwa Wadhamini Wakuu wa Yanga SC akina GSM.

Soko Kuu ( Kubwa ) la Kariakoo limeungua ( ila GENTAMYCINE nasema limeunguzwa Kimkakati ) tokea mwaka Jana na mpaka leo Kamati haijaja na Ripoti yoyote ile.

Ila muda wa Kumkandia Ndugai wa Watu ulikuwepo na pia muda wa kurudia mara kwa mara kutolea Ufafanuzi ( ambao hata hivyo wenye Akili Kubwa hatujauelewa ) upo ila wa ama Kukemea hawa Wahuni ( Crooks ) wanaochoma Masoko Makubwa kwa Makusudi nchini au hata Kuwakamata upesi haupo.

Endeleeni tu kutufanya Sisi ni Wapuuzi.
 
Hivi haya masoko hakuna walinzi moto unawakaje mpaka kukolea mlinzi asistuke na kuomba msaada, yani mpaka moto uteketeze mali hivyo
 
Nimeshangaa leo kusikia wale jamaa waliounguliwa bidhaa zao jana wameanza kujenga vibanda vyao navyo vimebomolewa na polisi usiku na pamewekwa ulinzi mkali kuzunguka lile eneo.

Huu ni ushetani wa hii awamu ya wapiga dili.
 
Naunga mkono hoja....tena atangaze mara moja Serikali kuwafidia na kuwawekea utaratibu wenye Afya siku za usoni...

Serikali iingie tu hasara ya kuwafidia kama sehemu ya msaada kwa watu wake au stimulus package kusaidia watu...

Kama alivyowafidia mwendazake watu wa kagera badae kimara
 
Back
Top Bottom