Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi


Dah! Aisee, ok Noted.?ila naming hivi inaruhisiwa humu?
 
Mkuu

Hawezi jitokeza kuongelea suala hilo wananchi wana hasira ambazo anashauriwa asithubutu kuliongelea maana wanauthibitisho kilichotokea ni kitu gani......ipo siku ambyo haiko mbali jwataamua litakalokuwa na liwe.....walioaminiwa kumwakilisha kusimamia shughuli za wananchi ni sehemu ya tatizo sugu lenye sura ya kinyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…