Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

Gerson Msigwa ( Msemaji wa Serikali ) unateseka sana na GENTAMYCINE na kwakuwa Umejipendekeza Mwenyewe Kwangu nakuibia Siri sasa kuwa huna muda mrefu hapo unatolewa na anakuja Mtu mwingine ambaye ni Adui yako Kiutendaji na ulishawahi hata Kumtukana mwaka 2019 ulipokuwa na Kiburi na Jeuri ya kuwa chini ya Hayati 17 March, 2021.

Dah! Aisee, ok Noted.?ila naming hivi inaruhisiwa humu?
 
GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu fulani fulani wapige Pesa na pia 'Mshauri Mswahili' kupitia Marafiki na Washirika wake Kibiashara wapewe Tenda na Yeye awekeze humo humo kwa Kificho kama afanyavyo kwa Wadhamini Wakuu wa Yanga SC akina GSM.

Soko Kuu (Kubwa) la Kariakoo limeungua (ila GENTAMYCINE nasema limeunguzwa Kimkakati) tokea mwaka jana na mpaka leo Kamati haijaja na Ripoti yoyote ile.

Ila muda wa Kumkandia Ndugai wa Watu ulikuwepo na pia muda wa kurudia mara kwa mara kutolea Ufafanuzi (ambao hata hivyo wenye Akili Kubwa hatujauelewa) upo ila wa ama Kukemea hawa Wahuni (Crooks) wanaochoma Masoko Makubwa kwa Makusudi nchini au hata Kuwakamata upesi haupo.

Endeleeni tu kutufanya Sisi ni Wapuuzi.
Mkuu

Hawezi jitokeza kuongelea suala hilo wananchi wana hasira ambazo anashauriwa asithubutu kuliongelea maana wanauthibitisho kilichotokea ni kitu gani......ipo siku ambyo haiko mbali jwataamua litakalokuwa na liwe.....walioaminiwa kumwakilisha kusimamia shughuli za wananchi ni sehemu ya tatizo sugu lenye sura ya kinyonga
 
Back
Top Bottom