Rais Samia: Tupimane kwa matokeo ya kazi na sio maneno

Rais Samia: Tupimane kwa matokeo ya kazi na sio maneno

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ndugu wananchi ninapohitimisha napenda kutoa wito na maelekezo yafuatayo kwanza tubadili mtazamo na namna tunavyofanya kazi na kupimana kwani dira 2050 imeweka lengo na shabaha kubwa kufikia uchumi wa kati wa kati wa juu wa dola trilioni moja"

đź—Ł"ni wazi kuwa hatutoweza kufikia lengo hili kama tutaendelea kufanya kazi kwa mazoea lazima tubadilike kifikra,kimtazamo na kimatendo vilevile lazima tupimane kwa matokeo ya kazi hivyo naelekeza tume ya Taifa ya mipango kwa kushirikiana na ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na mpango ule wa muda mrefu unaondaliwa waweze kuandaa kwa haraka"

Soma Pia: Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

Sehemu ya Alichokisema Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia katika tukio la uzinduzi wa dira ya 2050 ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

 
kufanya kazi kwa mazoea lazima tubadilike kifikra,kimtazamo na kimatendo vilevile lazima tupimane kwa matokeo ya kazi
Naunga mkono hoja.https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-kukamilisha-yale-ya-mtangulizi-wake-kisha-kujumlisha-na-ya-kwake-anayotenda-kutomshukuru-ni-kujichumia-tu-dhambi-za-bure.2353918/, tumemtathmini ana fit kuendelea!

P
 
Tupime matokeo ya kazi ya kukopa, kuiba, kuteka, kutesa, kubaka, kuua?
 
Back
Top Bottom