Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Naunga mkono hoja.https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-kukamilisha-yale-ya-mtangulizi-wake-kisha-kujumlisha-na-ya-kwake-anayotenda-kutomshukuru-ni-kujichumia-tu-dhambi-za-bure.2353918/, tumemtathmini ana fit kuendelea!kufanya kazi kwa mazoea lazima tubadilike kifikra,kimtazamo na kimatendo vilevile lazima tupimane kwa matokeo ya kazi
Net Present Value ya hiyo dola trillion moja wakati huo wa 2050 ni ngapi?...."kufikia uchumi wa kati wa kati wa juu wa dola trilioni moja"....
hayo ni maneno...! alitamka jikite kwenye matendo. Hujamuelewa Mheshimiwa Rais bado?muulizeni ili neno la kifo ni kifo ulikuwa unampima nani.?
Nimeshangaa kwa nini wale waimbaji (wanafunzi wa chuo nadhani) walibeba bango ?...kuweka tu mabango yake...
Mbona matendo yake ndo yanaogofya zaidi….hayo ni maneno...! alitamka jikite kwenye matendo. Hujamuelewa Mheshimiwa Rais bado?
matendo si hayo mfano alikibao,mdude,soka na wengine waliokufahayo ni maneno...! alitamka jikite kwenye matendo. Hujamuelewa Mheshimiwa Rais bado?
Tutapimaj wakata hatoi fursa ya wengine kuchaguliwahayo ni maneno...! alitamka jikite kwenye matendo. Hujamuelewa Mheshimiwa Rais bado?