PostGE2025 Rais Samia, tusaidie kuwaagiza Polisi wamuachie Polepole kama ulivyoagiza wasimkamate Askofu Gwajima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.

Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila hata kuzingatia sheria zimefuatwa au zimekiukwa.

Hii katiba ya sasa imekupa nguvu sana mheshimiwa naomba ulifanyie kazi hilo.
 
Weka msisitizo katiba ya wanachi na siyo ya kikundi fulani cha watu✍️✍️
 
Nyie vijana wajinga hebu tulieni.
Hatutaki kelele, who is Polepole?
Kwani Polepole alikiri kuwa hayuko nchi bado hajatumiwa nauli ya kurudi Bongo.
Onyo: Hakuna mtu yeyote anaweza kushindana na serikali na akashinda
 
Kama ameagiza hivyo, basi mambo yote ya kutekana, kuuana na kukamatana Huwa ni maagizo yake, hata kesi mahakamani zinaendeshwa kwa maagizo ya Raisi. Jamaa wasipong'oka tumekwisha.
 
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.

Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila hata kuzingatia sheria zimefuatwa au zimekiukwa.

Hii katiba ya sasa imekupa nguvu sana mheshimiwa naomba ulifanyie kazi hilo.
Hao waliomshikilia watamalizana na brother yake Kanali Komandoo Augustino.
 
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.

Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila hata kuzingatia sheria zimefuatwa au zimekiukwa.

Hii katiba ya sasa imekupa nguvu sana mheshimiwa naomba ulifanyie kazi hilo.
Hili neno la kumuita raisi..mtu aliyeiba kura,muuaji si sawa kabisa.
Nani kampa huo uraisi
 
Polepole alirudi lini?
Serikali inamajibu yote. Awe alirud ama hajarudi. Iseme raia wake huyo yupo wapi. Tena afisa wa ngazi za juu kabisa.

Unaachaje kufahamu alipo. Shida yenu machawa mnatumia masabuli kila sehemu.
 
Bila Samia kung’oka, damu ya vijana itakuwa imepotea bure!
 
Back
Top Bottom