PostGE2025 Rais Samia, tusaidie kuwaagiza Polisi wamuachie Polepole kama ulivyoagiza wasimkamate Askofu Gwajima

PostGE2025 Rais Samia, tusaidie kuwaagiza Polisi wamuachie Polepole kama ulivyoagiza wasimkamate Askofu Gwajima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyie vijana wajinga hebu tulieni.
Hatutaki kelele, who is Polepole?
Kwani Polepole alikiri kuwa hayuko nchi bado hajatumiwa nauli ya kurudi Bongo.
Onyo: Hakuna mtu yeyote anaweza kushindana na serikali na akashinda
Kwahiyo serekali ina kinga ya kufanya uovu, hivyo haya ifanye uovu vipi huwezi kuiishinda?! Kama serekali haiwezi kushindwa, ilikuwaje yule aliyekamata ndege akalipwa?
 
Serikali inamajibu yote. Awe alirud ama hajarudi. Iseme raia wake huyo yupo wapi. Tena afisa wa ngazi za juu kabisa.

Unaachaje kufahamu alipo. Shida yenu machawa mnatumia masabuli kila sehemu.
Kama hajarudi, serikali inahusika vipi?
 
Back
Top Bottom