Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Weka msisitizo katiba ya wanachi na siyo ya kikundi fulani cha watu✍️✍️Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.
Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila hata kuzingatia sheria zimefuatwa au zimekiukwa.
Hii katiba ya sasa imekupa nguvu sana mheshimiwa naomba ulifanyie kazi hilo.
Bado hajarudiPolepole alirudi lini?
Atakuwepo kwenye shughuli ya kupinga usugu wa dawa.zaidi
Kwani anaposema Gwajima asikamatwe anajua alipo?Kwani rais amekwambia kuwa polisi wamemkamata polepole?
Hao waliomshikilia watamalizana na brother yake Kanali Komandoo Augustino.Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.
Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila hata kuzingatia sheria zimefuatwa au zimekiukwa.
Hii katiba ya sasa imekupa nguvu sana mheshimiwa naomba ulifanyie kazi hilo.
Hili neno la kumuita raisi..mtu aliyeiba kura,muuaji si sawa kabisa.Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.
Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila hata kuzingatia sheria zimefuatwa au zimekiukwa.
Hii katiba ya sasa imekupa nguvu sana mheshimiwa naomba ulifanyie kazi hilo.
Serikali inamajibu yote. Awe alirud ama hajarudi. Iseme raia wake huyo yupo wapi. Tena afisa wa ngazi za juu kabisa.Polepole alirudi lini?