Rais Samia: Tusiharibu vyanzo vya maji, ndiyo uhai wetu

Rais Samia: Tusiharibu vyanzo vya maji, ndiyo uhai wetu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
“Mnakumbuka wakati wa kampeni, tuliahidi kumtua ndoo mama kichwani. Sasa tumekwenda kuifanyia kazi ahadi ile. Tumeifanyia kazi kwa kusambaza miradi ya maji nchi nzima. Kama mnavyoona tulivyofanya Ruvuma na nchi nzima ni hivyo hivyo. Kwa hiyo tunatarajia ikifika mwaka kesho 2025 tuwe tumetimiza lile lengo tulilotumwa na Chama Cha Mapinduzi kwamba vijiji vyote vya Tanzania vipate maji kwa asilimia 85 tutakuwa tumelitimiza au kupita kidogo,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani kiteto
 
Back
Top Bottom