Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
SisimamiRais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee
Ndio imepalilia laana juu ya wauaji.Unahisi hii dua itakubalika ?
Faking the reality.. The guilty are afraid..!Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
View attachment 3577911
Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee
Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
View attachment 3577911