Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Hivo mkuu.
Tunajikaza tu, tukitumai kufika 🙏.
 
Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Zuzu hana akili huyo toka atangaze kushusha bei ya luku nchi nzima kisha baada ya siku chache akaja kufuta nika proof kuwa zuzu ni zuzu kweli kweli ...kazi yake ni kutafuta sifa za kipumbafu tu
 
Kutokana na hali ngumu ya maisha kwa wanafunzi wengu vyuo na vyuo vikuu ilikua inapelekea wengi wao kujihusisha na vitendo vya udangaji na kubet.

Lakini Rais ameongeza pesa za kujikimu, Anatoa hekari kumi za ardhi pamoja elimu na mtaji wa kufanya kilimo kwa vijana, mwanachuo gani atapata muda wa kudanga na Kubet? Wanazuoni tunamuunga Mkono kwasababu kama hizi anakigusa kizazi kijacho kiuchumi.

Mama yetu na Rais wetu anazidi kudhihirisha kwamba yeye sio uyoga leo Mboga kesho sumu”. Yunusi Suleiman mwenyekiti wa seneti ya Vyuo na Vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam.

Chanzo: cloudstv

Hovyo kabisa.....!!!!!!
 
600k inatosha katika mahitaji ya kila siku

Kubet na kudanga ni tabia ya Mtu binfsi hata asingekuwa chuo wangebeti tu
 
Duniani kote vijana wanapitia wakati mgumu sana tena wale wa mavyuo na waliomaliza vyuo.
Kuna makala niliangalia jinsi vijana wa USA wanaosoma vyuo wakikosa pesa za kupata makazi ya chuo wakilala kwenye gari.

Sera ya vijana bado imefunikwa sio tz tu bali duniani kote
 
Kutokana na hali ngumu ya maisha kwa wanafunzi wengu vyuo na vyuo vikuu ilikua inapelekea wengi wao kujihusisha na vitendo vya udangaji na kubet...
Wanataka iPhone 14 pro max.. lazima wajiuze.. misingi ishaharibika .. kwanza kama kawatuma tu sasa
 
Mmmmj😳😳😳😳😳😳
 
Basi tuwaombee Ili aongozewe
Wa NIT naye ameongezewa leo nimecheki account yake , wanafunzi wengine wahuni watakuwa bado wanapiga hela wazee wao wakati wemelipiwa ada yote maana wengi hawafahamu kama kuna nyongeza mpya mwaka huu kea wanafunzi wengi.
 
Wa NIT naye ameongezewa leo nimecheki account yake , wanafunzi wengine wahuni watakuwa bado wanapiga hela wazee wao wakati wemelipiwa ada yote maana wengi hawafahamu kama kuna nyongeza mpya mwaka huu kea wanafunzi wengi.View attachment 2521212
Mungu ni Mwema🙏🙏🙏 Asante pia Kwako Allah Akuruzuku kadri ya Huwezo wake kwako. Maana umewapigania wadogo zetu.
 
USA hakuna hizo Ajenda Mkuu unajaribu kuandika propaganda.
 
Dodoma ni fahari ya watanzania kama makao makuu ya nchi yetu.
Yaani dodoma kuwa hq ya nchi sio kuwa ndio utaamka asubuhi utakutana na chakula mezani. Inabidi upigane na utoe jasho ama uumize akili. So hakuna kinachoongezeka ama kupungua. Kama ulikuwa unalipa Ada ya mwanao milioni mbili bado itaendelea kuwa iyo iyo 2m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…