Betterment
Member
- Jan 31, 2023
- 21
- 14
Hivo mkuu.Poleni Sana. Uchumi mdogo.mama anadonoadonoa huku na kule. Japo hicho kidogo pokeeni. Chai 3000, mchana 3500 na usoiku 3,000 pesa kwisha. Bado ya bodaboda au nauli huko walikopanga nje ya chuo. Hali ni ngumu. Kuna binti namsomesha huwa nampa 300,000 ya matumizi. Dada itabidi niongeze mpaka 400,000 Kwa mwezi kujikimu.
Tunajikaza tu, tukitumai kufika 🙏.