Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Wasomi wa nchi hii hasa hii miaka ya karibuni ni wa ajabu sana sujui hata kama wana reason, ni hatari sana kuwa na wasomi wa aina hii ambao kureson ni tatizo...
Wewe unadhani kwa nchi zetu hizi za mkono wa Chuma ukiandamana mtaishia kupigwa risasi na kuuliwa and nothing

Mama is doing fine on her career
 
Ameonesha kwa vitendo kuwa anajali, yaani anafanya kazi ya urais ionekane rahisi kabisa. Narudia tena, 2025 bila figisu zozote anapita kwa kishindo, yaaani 80% plus ya kura zote.

Na baadhi ya kanda kama vile nyanda za juu kusini, upinzani unakwenda kufa kabisa.
 
Hata Marekani na Ulaya kwenye kila kitu upinzani haujafa, upo mpaka leo.
Haya yako ni mawazo ya kijinga na kijima sana.
Ameonesha kwa vitendo kuwa anajali, yaani anafanya kazi ya urais ionekane rahisi kabisa. Narudia tena, 2025 bila figisu zozote anapita kwa kishindo, yaaani 80% plus ya kura zote.

Na baadhi ya kanda kama vile nyanda za juu kusini, upinzani unakwenda kufa kabisa.
 
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kaongeza pesa ya kujikimu(BOOM) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka 8,500 kwa siku mpaka kufikia 10,000/= kwa siku, Hii ni tofauti kabisaa na ilivyozoeleka miaka ya huko nyuma tangu 1990+ mikopo hii ilipoanza kutolewa...
Umesema Retention Fee imeondolewa? Kwahiyo kile kinachoonekana kwenye Salary Slip yangu kuanzia mwezi Desemba, 2022 kama makato ya retention fee baada kuwa nimemaliza mkopo wangu tangu mwezi April, 2019 wananiinia? Ebu niambie ukweli nikafungue kesi haraka!
 
Hii pesa hakuna.

Tunadanganywa tu.

Ni uongo uongo tu umejaa awamu hii.

Hakuna kitu wanaweza fanya ila hawaachi kutudanganya.
 
Huyu ndiye Rais, huyu ndiye mama, huyu ndiye tumtakaye. Humtaki saga chupa au wembe unywe. Hakika 10,000 vijana wetu watajibanabana na maisha ya chuo yatasonga.
 
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kaongeza pesa ya kujikimu(BOOM) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka 8,500 kwa siku mpaka kufikia 10,000/= kwa siku, Hii ni tofauti kabisaa na ilivyozoeleka miaka ya huko nyuma tangu 1990+ mikopo hii ilipoanza kutolewa...
Huu ni mkopo, utakapoanza kulipa kwa 15% ya gross ndio utakuja utamu wake.
 
Huyu ndiye Rais, huyu ndiye mama, huyu ndiye tumtakaye. Humtaki saga chupa au wembe unywe. Hakika 10,000 vijana wetu watajibanabana na maisha ya chuo yatasonga.
Unapewa 400k ,,,Ada 1.2M .
Bado direct cost na mengineyo.
Hilo boom unali-balance wee. Linakata mpaka nauli unaomba nyumbani,,,😂😥😥. Huna field allocation wala Cha Nini, Ni Ada kiduchu na boom tu(ya kujikimu) over.
Hali Ni Ngumu asikudanganye mtu Mr.

UDSM wanakula Sana mihogo, hapa UDOM mwendo wa maandazi mpaka tunajiita wayahudi. Acheni tu.
Milo mitatu ni anasa kwetu, usifikiri hatupendi, hapana Hali yetu hairuhusu.
 
IMG_4607.jpg


Kwa hili anastahili pongezi. Deni la sasa linalipika.
 
Unapewa 400k ,,,Ada 1.2M .
Bado direct cost na mengineyo.
Hilo boom unali-balance wee. Linakata mpaka nauli unaomba nyumbani,,,😂😥😥. Huna field allocation wala Cha Nini, Ni Ada kiduchu na boom tu(ya kujikimu) over...
Poleni Sana. Uchumi mdogo.mama anadonoadonoa huku na kule. Japo hicho kidogo pokeeni. Chai 3000, mchana 3500 na usoiku 3,000 pesa kwisha.

Bado ya bodaboda au nauli huko walikopanga nje ya chuo. Hali ni ngumu. Kuna binti namsomesha huwa nampa 300,000 ya matumizi. Dada itabidi niongeze mpaka 400,000 Kwa mwezi kujikimu.
 
Mkuu 300k mbona inatosha Mtu kuishi vizuri , watoto wa Kike Chuoni wanafanya Mambo that way unaona haitoshi lakini ukijitambua unaishi vizuri Ni Mtu mjinga atakayeendekeza kuishi kwa starehe wakati yupo chuo anatafta Elimu na Hana Ajira
Poleni Sana. Uchumi mdogo.mama anadonoadonoa huku na kule. Japo hicho kidogo pokeeni. Chai 3000, mchana 3500 na usoiku 3,000 pesa kwisha. Bado ya bodaboda au nauli huko walikopanga nje ya chuo. Hali ni ngumu. Kuna binti namsomesha huwa nampa 300,000 ya matumizi. Dada itabidi niongeze mpaka 400,000 Kwa mwezi kujikimu.
 
Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
Laiti hiyo pesa ingekwenda kwa wakulima. Mtakachotengeneza hapa ni vilaza wa madesa watakaoishia kuotesha vitambi , kubeba na kuchomoa mimba kwa hasara ya wanafunzi, wazazi na taifa. Tuna shida ya vipaumbele nchini.
 

Tanzania: Serikali yapandisha kima cha chini cha mshahara wa wafanyakazi wake​

14 Mei, 2022
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa baada ya kula kiapo

Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa baada ya kula kiapo
Ona maoni
Serikali ya Tanzania imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara wa wafanyakazi wa umma nchini humo kwa 23.3%.

Rais wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Samia Suluhu Hassan amesema ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara yaliyo wasilishwa Ikulu, ikiwa ni muendelezo wa kikao cha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alipokea taarifa ya watalaamu mjini Dodoma kuhusu suala la nyongeza ya mshahara.

“Nyongeza hiyo imefanyika kwa kuzingatia Pato la Taifa (GDP), mapato ya ndani yanayotarajiwa kukusanywa katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 na hali ya uchumi wa ndani na nje ya nchi', ilisema taarifa ya Ikulu.

Kulingana na taarifa hiyo serikali inatarajiwa kutumia shilingi trilioni 9.7 kugharamia malipo ya mishahara ya watumishi wote wa serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Taasisi na idara nyingine za Serikali.

Kutokana na nyongeza hiyo ya mishahara, bajeti ya mishahara ya mwaka 2022/2023 itaongezeka kwa shilingi trilioni 1.59 sawa na asilimia 19.51% ikilinganishwa na bajeti ya sasa ya mwaka wa fedha 2021/2022.

Wakati huo huo Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022).

Rais aimekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25% ambayo ilikataliwa hapo awali na wadau hadi 33.3%.
Pia amewataka TUCTA, wizara ya fedha na Chama cha Waajiri (ATE), kuendelea kushirikiana ili kukamilisha taratibu za malipo ya mkupuo huo wa asilimia 33.3% badala ya 25% iliyokataliwa mwaka 2018.
Mshahara kwa wiki 2=tzs 138,472.20. mshahara kwa mwezi= tzs 300,000.00. zingatia: 1. hiki ni kiwango cha chini cha mshahara bila posho, bila overtime. hapa ndio pa kuanzia majadiliano, baada ya hapo ili mshahara uwe mkubwa zaidi ya huo itategemea sasa: (a) elimu yako; (b) uzoefu wako,. Serikali ya tanzania imetangaza viwango vipya vya mishahara kwa kima cha chini kwa kuzingatia tofauti za kisekta. mfanyakazi katika kampuni ya simu. mishahara hiyo ambayo imepangwa kuanza kutolewa.
1 Mei 2022

1676252751474.png
 
Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anazungumza na wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo tarehe 11 Februari 2023...
WANAVYUO wanaruka ruka kuongezewa sh 1,500/= Aisee njaa mbaya
 
Back
Top Bottom