Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe la maana uliloona ni mikutano ya vyama vya siasa? kweli? Mtu mzima na familia?!Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe kidampa unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
Siwezi tupa neno lolote kwa mama ninaimani nae SanaMama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe kidampa unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe kidampa unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
MI sina shida hata ya CCM, shiuda yangu ilikuwa kwa yule muuaji ambaye naye kauawa basiiiiiNchi bado ipo mikononi mwa Ccm. Kama wewe ni mpinzani hilo kaa nalo kichwani.
Alifariki...kauawa basiiiii
Mama anasema yeye na jiwe ni kitu kimoja.ndio, Katiba. yule jamaa hakufuata katiba, alikuwa yeye ndio katiba. Na pia mama ameunda tume ya watalamu kuhusu COVID ambayo jiwe alidai haipo, haidi ikamuua na yeye
Kwahiyo ccm na mifumo yake imekufa pia?Magufuli ni marehemu, naona bado hamuamini kama mungu wenu kafa,,
Mkuu Kama kusoma hujui ,atakuangalia picha unashindwa, ilo kongamano limeandaliwa kimkakati, na kiroho lipo kundi flani nyuma ya kongamano sema tu watu wanashindwa soma mchezo, huyo Konk wako anasema mwendazake katuacha wamoja, how, kusaka vyeo ,yeye kutokana na kauli zake vipi tukisema anatimika tu , so KWA watu wenye macho ya kiroho hawezi kuteka fikra zetu , atawateka watu wa aina yakoUmeamua kujipendekeza kwa mama upate teuzi by Askofu Konk
wametoka wote CCM ila hawawezi kuwa kitu kimoja, Mwinyi hakuwa sawa na Nyerere, Magufuli hakuwa sawa na Kikwete, Mkapa hakuwa sawa na Mwinyi. na kaonyesha mtazamo tofauti kuhusu sera za mambo ya nje, kodi, uwekezaji na hata Coviid na pia katamka hataki kufananishwa na MagufuliMama anasema yeye na jiwe ni kitu kimoja.
Mama anasema yeye na jiwe ni kitu kimoja.
By default Mufti atakuwa wapo pamoja na mama.Ni sera ya CCM na Serikali yake!Naona anatafuta gia ya kumuingia Mama!
Pia amesema yeye na JPM ni kitu kimoja akimaanisha tuache kelele za kulinganisha kitu kimoja. Wote ni ccm, wanaongozwa na katiba ya ccm.
Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe kidampa unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
Wanacheza ngoma ya ccm.Nyumbu wamepoteza ramani mkuu, wengine wana fungua nyuzi kumponda eti hana degree, wengine ndio hawa ambao bado hawajielewi wana mkoti mama maneno nusunusu.
Ukimwambia aweke clip hapa tusikie utamtafuta na tochi humu.
Kifupi wamepoteza mwelekeo hawaelewi wanacho fany,mama kawachana live yeye na magu nikitu kimoja na ilani ya chama ipo mezani kwake.
Amini mkuu leo nyumbu wana lala na viatu.
Supika ana demka kwa maringo utopoloAnasema kuwa awamu yake haijapigiwa kura wala kutokana na chama chengine cha siasa zaidi ya ccm? Hivyo hili neno awamu ni kutofautisha aliepita na sasa ila mambo ni yaleyale.
Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe kidampa unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
Ataendeleza mazuri tu, aliyasema ni yapi au unashadidia tu! Pumbavu!!!Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe kidampa unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.