Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo.
Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense'
Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
Leo hii kuna mtu kanipa taarifa kuhusu Rais Samia kasimama pale Mbagala na kusema "Mbagala oyee!" Lakini hakuna aliyeitikia.
Inasemekana machingas wamekasirika.
Kwanza Rais uamuzi Juu wa kujaribu kuweka miji yetu sawa, ni jambo zuri linastahili kupongezwa
Nasema asitetereke in uamuzi mzuri sana.
Nadhani kuna magonjwa mengi ambayo tunayapata kwa uchafu wa kuweka chakula barabara na kukiuza. Haijalishi kibichi au kilichopikwa kiko wazi tu. MTU akinunua ni kupeleka mdomoni.
Mazingira maalum ya biashara ni mhuimu kwa kila mji. Mji gani unakuwa hauna utaratibu. Kazi ya serikali ni kupanga mji (watu wake inavyostahili)
Wananchi tubadilike hata kama tumeumizwa lakini ni jambo la kujali wananchi na afya zao na usalama pia.
Ukisimamia jambo jema wengi watakupinga, hata wenzako. Tena watakitumia hicho kujiweka. Mwanasiasa ye yote anachochea Machingas wafanya biashara kiholela hiyo kafilisika kisiasa hata kiutu. Anataka apate vya tumbo lake.
Kigali in mji msafi Afrika Mashariki, lakini haikuwa rahisi Warwanda walikasirika kuwaondoa barabarani, sasa wamezoea wanaona faida yake.
Mama simamia jambo, cheo ni dhamana, unachojua ni kizuri heri ukisimamia kwa moyo wote
Ifanyike kampeni maalum kuwaelimisha machingas na watu juu ya madhara yake. Tafiti zifanyike kuhusu jambo hili