Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu...
Hangaya kaingizwa chaka naye kaingia mzima mzima

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!!

Kwanza kwaheshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake...
Huu utumbo umemwandikia nani?

Huo muda ulioutumia ungetafuta katuni za POLO na CHAKUBANGA!
 
Unakubali nyinyi wachache ni mazuzu, wala hamuelewi chochote!

Oooh, samahani, nilikuwa sijaangalia jina. Basi Sawa! Nyinyi ni wapuuzi sana, na yeye ni mpuuzi kama nyinyi. Haya, nenda kamweleze hivyo...
Kabla hatujaongea kihisia,kichuki,kishabiki na kiitikadi..angazia swala la sementi...leo hatuagizi sementi kutoka nje..matokea yake sementi imepanda juu sana kwa mtumiaji wa chini..nadhani katika east Afrika ni mtanzania pekee ndio ananuanua sementi gali...

Unafikiri niwatanzania wangap wanashindwa kujenga kwasababu ya bei kubwa ya sementi?....hivyo kwa sukari ..imekuwa bei juu kwasababu ya hizi complication hatuna uwezo wa kuzalisha...mnaleta siasa siasa rahisi.
 
Huyu hakujiandaa kweli kuwa Rais
Hata ukimpa miaka mia kujiandaa hataweza.

Nchi yetu tumefikia mahali tunabandika tu watu kwenye uongozi bila hata ya kuangalia uwezo wa mtu?

Hata mapandikizi ya nchi zingine yatapewa uongozi hapa, huku sisi tukichekelea!

Nitampongeza waziri kama ni kweli kwamba amejiuzuru.
 
Kabla hatujaongea kihisia,kichuki,kishabiki na kiitikadi..angazia swala la sementi...leo hatuagizi sementi kutoka nje..matokea yake sementi imepanda juu sana kwa mtumiaji wa chini...
Wewe ni kiazi sana aisee, pamoja na kwamba jina ulilojipachika hapo linakutangaza. Sina hata njia ya kukueleza wewe ulivyo mpuuzi haswa.

Wewe unadhani ndiye unayewajali sana waTanzania?
 
Kwa ni Kagera Sugar, Mtibwa, Kilombero, Kilimanjaro, Manyara sugar n.k wameshindwa kuzalisha sukari ya kutosha?

Kwa namna nyingine pia naweza kukubaliana na mama maana mafisadi hawachelewi kutengeneza genge la kusababisha uhaba wa sukari ili ipande bei.
Naweza kusema wameshindwa, haiwezekani Uganda sukari inunuliwe elf mbili Tzs 2000/ alafu Tanzania inunuliwe elfu 3000\=
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo..
Hapa kuna tatizo. Si kawaida Rais, Waziri Mkuu na Waziri kutofautiana wakati wote wanatumikia serikali moja na wana kila fursa ya kuweza kuwasiliana kabla ya kutoa msimamo.

Naona hapa Rais amechemsha kweli kweli. Anaonyesha alivyo mtupu kwa kiwango kikubwa. Nadhani ingekuwa vizuri wahusika wote wajiuzulu.

Nasema hivi kuepuka mmoja kutumia mamlaka yake kuwaumiza wengine. Hapa kuna tatizo. Rais hata hajui sheria inasema nini! Je anapata faida gani au amepewa kitu au hii biashara ni ya watu wake au ndugu zake?
 
Hii Misukuma Gang ina Chuki na kijinga na kipuuzi sana.sasa mnataka tuuziwe sukari kilo elfu10 eti?

Huyu Rais ni Mchumi by professional sio kama yule mwenye PhD ya kubumba muelewe hilo kwanza.

Hapa mbona kuna kanuni ndogo sana ya kiuchumi Demand and Supply, kwamba kitu kikiwa haba bei inapanda na kikiwa kingi bei inashuka.

Rais lengo lake ni kuwapa wananchi unafuu wa maisha mana tumepitia kipindi kigumu cha kubebeshwa mizigo mizito bila uwezo wetu wa kuhimili.

Rais hataki sifa za kijinga eti tunazalisha wwnyewe ndani then tutumie wwnyewe ili kuvibeba viwanda vyetu vya ndani,come on uhalisia huo haupo kwa sasa viwanda vya havina uwezo wa kucover soko LA ndani wamebaki kupandisha bei tu kila siku sababu hawana ushindani.

So acheni chuki zenu za kijinga nyie washamba
 
Hii Misukuma Gang ina Chuki na kijinga na kipuuzi sana.sasa mnataka tuuziwe sukari kilo elfu10 eti? Huyu Rais ni Mchumi by professional sio kama yule mwenye PhD ya kubumba muelewe hilo kwanza...
Vita vya panzi
 
Kiukweli, Mh. Rais Mama Samia, hakuijua vizuri na kiundani hii biashara ya sukari, inakaribia biashara ya madawa ya kulevya, nadhani Mh. Rais kaingia chaka kwa hili la sukari.
Kwa hili la sukari ilikuwa zamu yake kudemka, na kademka kweli kweli !!
 
Wenzake wanapozuia kuagiza maana yake ni kulinda viwanda vya ndani.

Ila kwa ardhi iliyopo Tanzania hatukutakiwa kuagiza nje sukari, ngano, mafuta ya kupikia nk. Ni kwa vile tu Mungu alituumba bila ubongo.
Usipoagiza...na wao hawatanunua vyako...
 
Back
Top Bottom