Pre GE2025 Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila hajalaani tukio la hamas kuivamia Israel kuua na kuteka.
Na hajasema kuwa Bado vita inayoendelea ni sababu hamas Bado ameshikiria mateka 136 wa Israel🤔.bila mateka kuachiwa bila mashart.Israel hakuna mtu stamsikiliza aslani.

Ukweli uwekwe wazi,japo Wapalestina nao wanahitaji kuwa na taifa huru.
Ila njia wanayopita ni ngumu Kwa viumbe wale.
 
changa la macho
 
Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Haikusaidii.

Endelea na kanjanja zako, lakini haikisaidii,na unajua hilo.

Punguza makasiriko.
 
Mama Samia ww ni mtu wa haki. Usikubali watendaji wa chini waaribu image yako. Walipe watu wenye hati bonde la jangwani kwa mujibu wa sheria ya ardhi pesa ikichelewa kulipwa kwa wenye haki vibaka na vishoka wanaingilia kati na kuharibu zoezi
Kipunguni A ilisemwa anakuja Rais kukabidhi fidia kimya mpaka kesho. Ebu wajitahidi kuwa wakweli ili waaminike
 
anasikitishwa na yanayoendelea Palestina, bila kugusia yaliyotokea Israel? Kwa hiyo kwake yeye Israel ambaye hushambuliwa mara kwa mara ambapo hata raia wake waliuawa huko siyo wahanga na wala hasikishwi nayo?
 
Namaanisha zamani alikuwa wanavaa hijabu. Sasa leo hijabu imetupwa kule kaanza kuvaa vilemba vya kitajiri na kuonyesha dhahabu zake.
Kuna ulazima gani kuvaa hivyo utakavyo wewe? Mbona wewe hauvai kama Mtalebani?
 
Uchaguzi au uthibitisho? Kuna watu wanaamini kabisa kuna chama mbadala cha kuiongoza nchi yetu zaidi ya CCM? Nitakuwa wa mwisho kuamini hili
 
Uchaguzi huru bila mifumo huru ya uchaguzi ni haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…