Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,242
Hahahah skauti yuleKwa hiyo Nehemia Mchechu ni mtu Hodari?
Hahahah skauti yuleKwa hiyo Nehemia Mchechu ni mtu Hodari?
Maana gani"Nimesikia watu huko kwenye mitandao wanalalamika kuwa nachukua watu hodari na kuwaingiza Serikalini kuwa naua sekta binafsi lengo sio kuua tunataka kuchanganya na kupata ubora maana ukiwa nje unaona huku Serikalini ni mambo ni rahisi lakini ukiingia unakuta magumu sana," alisema Rais Samia.
Hii inamaanisha kuwa Rais mwenyewe alipokuwa Makamu aliona vitu ni Rais sasa anaonja joto la jiwe.
Hapa pia anawaambia wapinzani kuwa wasifikiri kuongoza ni rahisi wasitegemee siku wakishinda mambo ni rahisi, kuongoza nchi sio jambo dogo.
USSR
Acha uongo sio lazima rais kuteuwa mawaziri kwenye Wabunge, Rais amepewa nafasi kumi za uteuzi Hivyo anaweza teua mtu akaampa ubunge then uwaziri,hata Magufuli aliwapa uwaziri akina Kabudi,Mpango,Ndalichako nk,pasipo kuwa Wabunge wa majimbo.Tatizo kubwa kuliko yote ni ubaya wa katiba yetu. Fikiria sheria inayomlazimisha Rais ateue mawaziri kutoka kwenye kundi la wabunge, huku ikifahamika wazi hao wabunge wa sasa wote walipachikwa na marehemu kwa kukidhi sifa mbili kubwa aliyoipenda marehemu: kumsifia, na kutohoji chochote ambacho ameamua kufanya.
Katiba mpya pendekezwa ya Warioba ilitaka mawaziri wasiwe wabunge. Maana yake Rais awe na uwezo wa kumteua mtu yeyote miongoni mwa Watanzania, anayeona ana uwezo. Kabla ya mabadiliko ya katiba, hapo mwanzo ndivyo ilivyokuwa, mawaziri hawakuwa wabunge. Kwanza hiyo ingewaondoa wale wote wanaogombea ubunge kwa nia ya kuvizia uwaziri.
Auu....Alimaanisha Uhodari katika kulamba Asali Mkuu?Kwa Katiba hii ya sasa haihitaji uhodari wowote ili kuendesha Nchi hii, unatakiwa uwe na PhD kwenye uongo majungu na tumbo kubwa lisilojaa.