mkosa yote
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 504
- 1,071
Hakuna mtu aliyemdanganya.Samia ndivyo alivyo ni muongo muongo sana hana tofsuti na Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa.. hii ni kwa tafsiri yako binafsi, ila naomba urudi tena shule au muulize mzee yeyote atakuelewesha, manake nikikwambia uende library ni mtihani, na nikikwambia utumie mtandao kutafuta neno jeshi au kwa lugha ya malkia "military" itakuwa ni adhabu...Jeshi la polisi, jeshi la magereza, jeshi la mgambo, jeshi la uhamiaji, nk...
Uwongo mtupu jamani kha!Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao
1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.
2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.
3. Je jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?
4. Baada ya kuingia nchini alifanya Mikutano na vyombo vya habari, hakukamatwa. Alizunguka karibu nchi nzima kuzindua chadema digital hakuna aliyemkamata na haya yote yanafanyika Mhe. Rais akiwa madarakani.
5. Alipata msiba na akaenda msibani hakuna aliyemkamata.
6. Alisafiri kwenda Mwanza, RPC Mwanza alipohojiwa akasema amepokea maelekezo kutoka juu na hakusema Ugaidi.
7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.
8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.
Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
sasa mbona unaanza ligi za matopeni? halafu andika vizuri kiswahili 'kifalu' ndiyo nini?Maana yake nini? Kushika kifalu? Jeshi la siafu... Au jeshi kwako ni kitu gani? Jeshi la Mungu...
Tayari Watu Wameanza Kusoma Surrat~Zubaa Na Ubani Mashtaka Huku Chumvi Ikimiminiwa Aliye Juu Ndiyo Hutoa Hukumu SahihiIla Mungu fundi aiseee, ukisikiliza hio clip unaona kabisa ameshaanza kubanwa na Mafua makali hata sauti haitoki! Wacha nitafune ubuyu
Usisahau pia alituma salamu ya pole kwa kufiwa na kaka yake?Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao
1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.
2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.
3. Je jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?
4. Baada ya kuingia nchini alifanya Mikutano na vyombo vya habari, hakukamatwa. Alizunguka karibu nchi nzima kuzindua chadema digital hakuna aliyemkamata na haya yote yanafanyika Mhe. Rais akiwa madarakani.
5. Alipata msiba na akaenda msibani hakuna aliyemkamata.
6. Alisafiri kwenda Mwanza, RPC Mwanza alipohojiwa akasema amepokea maelekezo kutoka juu na hakusema Ugaidi.
7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.
8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.
Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
Nilichoelewa.. Alisema anatibu kwanza majeraha.. LAKINI HAKUSEMA HAYO MAHERAHA YALISABABISHWA NA NANI..!! Naona kaamua kuweka majeraha yake..!!Sikuwahi kumdhania mama kufikia hatua hii ktk maisha yangu, nilimsifia hadharani bila woga nikijua makosa yaliyofanyika na mtangulizi wake ya kubambika watu kesi na kuwatia magerezani yameisha kumbe wembe ni uleule kama wimbo wao wa kampeni za ccm unavyosema. Mama ataingia kwenye historia na kudhihirishia ulimwengu kuwa mwanamke hawezi madaraka makubwa kama vitabu vya Mungu vinavyosema. Ktk watu nilikuwa naamini ni washika dini na wenye hofu ya Mungu ni Wazanzibar ila kwa huyu mama basi.
Umejawa ubishi, kisa Dada kaandika jeshi la uhamiaji...sawa.. hii ni kwa tafsiri yako binafsi, ila naomba urudi tena shule au muulize mzee yeyote atakuelewesha, manake nikikwambia uende library ni mtihani, na nikikwambia utumie mtandao kutafuta neno jeshi au kwa lugha ya malkia "military" itakuwa ni adhabu...
Yaani mtu anayeshitakiwa kwa ugaidiMhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao
1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.
2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.
3. Je jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?
4. Baada ya kuingia nchini alifanya Mikutano na vyombo vya habari, hakukamatwa. Alizunguka karibu nchi nzima kuzindua chadema digital hakuna aliyemkamata na haya yote yanafanyika Mhe. Rais akiwa madarakani.
5. Alipata msiba na akaenda msibani hakuna aliyemkamata.
6. Alisafiri kwenda Mwanza, RPC Mwanza alipohojiwa akasema amepokea maelekezo kutoka juu na hakusema Ugaidi.
7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.
8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.
Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
Unajitekenya mwenyewe, unacheka mwenyewe!! Maajabu haya!!! 🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha yalifikiri kifo cha mwenda zake ndio sasa mambo yao yatakuwa mepesi
Rais aache na mambo ya mbowe yatamshushia heshima hakuna haja ya kumtesa mbowe wamfungue wajibishane kisiasa mbona kikwete aliruhusu upinzani wa hoja bila kufunguliana mashtaka. Huyu mama kuruhusu mbowe kufunguliwa mashtaka hewa na tozo kumemshushia sana heshima yake aliyoijemga ndani ya miezi mitatu iliyopita
Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.Rais aache na mambo ya mbowe yatamshushia heshima hakuna haja ya kumtesa mbowe wamfungue wajibishane kisiasa mbona kikwete aliruhusu upinzani wa hoja bila kufunguliana mashtaka. Huyu mama kuruhusu mbowe kufunguliwa mashtaka hewa na tozo kumemshushia sana heshima yake aliyoijemga ndani ya miezi mitatu iliyopita
Jeshi la wokovu (Salvation army)Ujasikia kuna jingine linajiita jeshi la uhifadhi.inaonekana uielewi hii nchi vizuri ndugu.
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.
Pia soma > Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za katiba
1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.
2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.
3. Je, jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?