Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

"Maza Mizinguo" anazidi kujipambanua kuwa uwezo hana; hata ule wa kudanyanyia tu watu waone mashaka juu ya mtuhumiwa hana.

Hata kukubali tu kujitokeza na kushiriki kwenye mahojiano na chombo cha habari kama hicho na kujionyesha kiasi cha ufinyo alichonacho kiongozi wa nchi inahitaji kutokujielewa ukomo wa uhafifu wa uelewa wa mtu husika.
 
Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
Kalee vilema vyako vya kichina wewe zuzu au GSM Hawajakukamulia ndimu
 
Serikali ina mkono mrefu na inajua jinsi ya kudeal na hawa janjajanja.
CCM ina inapendwa na watu wajinga - TWAWEZA.
Hiyo serikali iliyojaza wajinga, unaamini inaweza kuwa na mkono mrefu.

Serikali yetu is full of fools. Will be a great miracle for fools to lead a way to true development.

Very unfortunate to the nation blessed with everything but lacking visionary leadership!!
 
Umejawa ubishi, kisa Dada kaandika jeshi la uhamiaji...

Kichwa chako kimeganda hakitaki kuelewa kuwa kuna

Jeshi la polisi
Jeshi la zimamoto
Jeshi la mgambo
Jeshi la magereza na mengineyo...

Ingia katika tovuti ukaone ukasome, sio sisi ni imeandikwa na kuelekezwa hivyo

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama

Kichwa chako kimekuwa mgando una anza kifalu na kifaru...
ngoja nikusaidie mtoto,..... Military - Wikipedia, sasa kama kingereza kugumu nitakutafsiria, hivi huko kwenu hamna watu wanaojielewa? hii nchi ni shida lakini tutawaelewesha kidogo kidogo. na wewe nisaidie hizo tovuti, inawezekana umeangalia tuu maandishi
 
040882c2-4445-4980-8efb-25c2a64b344c.jpg

Ruled?kinyume cha hii kauli ni mbowe hana kesi na hapa mkuu wa nnchi atakuwa kadanganya? What a had time to exist[emoji2307]
 
SSH na chama chake wanajua fika kwamba hawana tena uwezo wa kupambana kisiasa kwa hoja. Uchaguzi uliopita walipora kwa mtutu wa bunduki. Hata JPM aliwaambia wabunge wake kuwa hawakushinda uchaguzi. Yeye mwenyewe na "uchuma" wake wote alipiga magoti kuomba kura ingawa haikusaidia na kulaximika kupora uchaguzi. Kwenye kampeni SSH alikiri kuwa wanakwenda kupora uchaguzi! Wamejiuliza huko mbele ya safari wataendelea kufanya kupora uchaguzi? Labda; lakini mbali ya hilo lazima upinzani uhujumiwe kwa kumuondoa kinara wa siasa za upinzani. Wamefilisika kupita maelezo. Kuendelea kuongozwa na wanasiasa mbilikimo kiasi hiki ni kuchelewesha maendeleo yake.
Wanasikitisha sana na hizi siasa chafu maana upinzani nao wangekuwa wameji organize ccm wasingechezea watu kiasi hichi. Maana lisu tu mwenyewe aliwanyoosha mpaka basi
 
Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
Acheni siasa chafu nyie wekeni fair ground ya kushindana bila kufunga wapinzani wenu, upinzani uko mioyoni mwa watu sio mbaya
 
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.

Pia soma > Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za katiba

1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.

2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.

3. Je, jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?

4. Baada ya kuingia nchini alifanya Mikutano na vyombo vya habari, hakukamatwa. Alizunguka karibu nchi nzima kuzindua chadema digital hakuna aliyemkamata na haya yote yanafanyika Mhe. Rais akiwa madarakani.

5. Alipata msiba na akaenda msibani hakuna aliyemkamata.

6. Alisafiri kwenda Mwanza, RPC Mwanza alipohojiwa akasema amepokea maelekezo kutoka juu na hakusema Ugaidi.

7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.

8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.

Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?

Mama wa kambo hajadanganywa, bali ni sehemu ya huo uongo. Lengo la uongo wa mama na serikali yake ni kukataa madai ya katiba mpya.
 
Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.

Kilaza umeshajifunza kuandika? Maana majizi mengi ya kura yana tatizo kwenye kuandika.
 
Mama hana jipya zaidi ya kulegeza macho na kula urojo....Salim Kikeke kaletwa kimkakati kapewa chake ndio maana hajamuhoji maswali,salim kaipaka BBC mavi kwa njaa zake
 
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.

7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.

8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.

Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
We Beatrice, kwanini wanawake hamuaminiani?

We umeona samia ni wakudanganywa tu.kwa kumuonaje?

Yeye na wewe nani anajua taarifa za nchi hii zaidi.
 
Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
Tukutane baada ya hukumu..!!
 
we beatrice, kwanini wanawake hamuaminiani?

We umeona samia ni wakudanganywa tu.kwa kumuonaje?

Yeye na wewe nani anajua taarifa za nchi hii zaidi.
Kwenye hili kuna taarifa kadanganywa... mfano
1. Anakuwaje amejificha Nairobi wakati kama ameenda huko maana yake alipita mipakani kwa passport?
2. Washitakiwa wenzie Mbowe wanaotumikia kifungo ni akina nani?
3. Gaidi amewezaje kufanya mikutano aliyoifanya na hakukamatwa?
4. Gaidi alipewa salam za pole na Rais, hivyo hakutoroka na alikuwa msibani

Huoni kwa hayo tu kuna taarifa kaongopewa?

BTW, si suala la mwanamke BITE kumuamini mwanamke SAMIA..! la hasha.. Kwani wewe unayemuamini Samia, nawe ni mwanamke?

Samia anaweza asiwe wa kudanganywa, lakini katika hili la ugaidi, kaingizwa chaka na baadhi ya watu wake..!! Huoni yale majibu ya SINA UHAKIKA, NADHANI, etc..!! kwenye hili, neno nadhani halikutakiwa kuwepo..

Kujua taarifa za nchi hii haimaanishi kuwa huwezi Danganywa..!! Unakumbuka ile Ambulence JK alikataa kuikabidhi enzi zake akiwa Rais? SI unakumbuka alichomekewa mambo? Ndo ujuwe kujua mambo mengi siyo kinga ya kutodanganywa
 
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi
Tz ina viongozi kweli kweli, mbona makubwa , aisee
 
Serikali ina mkono mrefu na inajua jinsi ya kudeal na hawa janjajanja.
Kwenye hili hakuna urefu wala ufupi wa mkono wa serikali...

Hapa kuna visasi, chuki, ujinga, upumbavu na atawala kukosa maarifa ya uongozi na utatuzi wa matatizo yanayoikabili nchi hii...!

Kwa ujinga wao wanadhani Freeman Mbowe na CHADEMA ndiyo kikwazo cha maendeleo ya nchi hii matokeo wana weka wazi (expose) ujinga na kukosa maarifa yao ya kiuongozi...!!
 
Back
Top Bottom