KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kalee vilema vyako vya kichina wewe zuzu au GSM Hawajakukamulia ndimuHuyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
CCM ina inapendwa na watu wajinga - TWAWEZA.Serikali ina mkono mrefu na inajua jinsi ya kudeal na hawa janjajanja.
Kuanzia leo aitwe BI MKORA.Na kwa nini unaendelea kumuita mtu Muheshimiwa hali yakuwa hana ya Heshima hata moja anayoyafanya?
Muite Bi fulani au mama fulani inatosha na anastahili akiitwa hivyo!
ngoja nikusaidie mtoto,..... Military - Wikipedia, sasa kama kingereza kugumu nitakutafsiria, hivi huko kwenu hamna watu wanaojielewa? hii nchi ni shida lakini tutawaelewesha kidogo kidogo. na wewe nisaidie hizo tovuti, inawezekana umeangalia tuu maandishiUmejawa ubishi, kisa Dada kaandika jeshi la uhamiaji...
Kichwa chako kimeganda hakitaki kuelewa kuwa kuna
Jeshi la polisi
Jeshi la zimamoto
Jeshi la mgambo
Jeshi la magereza na mengineyo...
Ingia katika tovuti ukaone ukasome, sio sisi ni imeandikwa na kuelekezwa hivyo
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
Kichwa chako kimekuwa mgando una anza kifalu na kifaru...
Wanasikitisha sana na hizi siasa chafu maana upinzani nao wangekuwa wameji organize ccm wasingechezea watu kiasi hichi. Maana lisu tu mwenyewe aliwanyoosha mpaka basiSSH na chama chake wanajua fika kwamba hawana tena uwezo wa kupambana kisiasa kwa hoja. Uchaguzi uliopita walipora kwa mtutu wa bunduki. Hata JPM aliwaambia wabunge wake kuwa hawakushinda uchaguzi. Yeye mwenyewe na "uchuma" wake wote alipiga magoti kuomba kura ingawa haikusaidia na kulaximika kupora uchaguzi. Kwenye kampeni SSH alikiri kuwa wanakwenda kupora uchaguzi! Wamejiuliza huko mbele ya safari wataendelea kufanya kupora uchaguzi? Labda; lakini mbali ya hilo lazima upinzani uhujumiwe kwa kumuondoa kinara wa siasa za upinzani. Wamefilisika kupita maelezo. Kuendelea kuongozwa na wanasiasa mbilikimo kiasi hiki ni kuchelewesha maendeleo yake.
Acheni siasa chafu nyie wekeni fair ground ya kushindana bila kufunga wapinzani wenu, upinzani uko mioyoni mwa watu sio mbayaHuyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.
Pia soma > Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za katiba
1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.
2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.
3. Je, jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?
4. Baada ya kuingia nchini alifanya Mikutano na vyombo vya habari, hakukamatwa. Alizunguka karibu nchi nzima kuzindua chadema digital hakuna aliyemkamata na haya yote yanafanyika Mhe. Rais akiwa madarakani.
5. Alipata msiba na akaenda msibani hakuna aliyemkamata.
6. Alisafiri kwenda Mwanza, RPC Mwanza alipohojiwa akasema amepokea maelekezo kutoka juu na hakusema Ugaidi.
7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.
8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.
Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
Serikali ina mkono mrefu na inajua jinsi ya kudeal na hawa janjajanja.
Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
We Beatrice, kwanini wanawake hamuaminiani?Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.
7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.
8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.
Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
Tukutane baada ya hukumu..!!Huyo Gaidi Mbowe ana kesi ya ugaidi tangu mwaka jana ilikuwa inapelelezwa hivyo mwaka huu upelelezi umekamilika tena wamemsaidia tu alitakiwa awe ndani kama wenzake waliokuwa ndani tangu mwaka jana. Kwanini mnamtetea Gaidi Mbowe tu na wala si wale chadema wenzenu magaidi yaliyokamatwa tangu mwaka jana? Ndiyo maana magaidi menzake yameamua kusema kila kitu ili wafungwe wote.
Kwenye hili kuna taarifa kadanganywa... mfanowe beatrice, kwanini wanawake hamuaminiani?
We umeona samia ni wakudanganywa tu.kwa kumuonaje?
Yeye na wewe nani anajua taarifa za nchi hii zaidi.
Tz ina viongozi kweli kweli, mbona makubwa , aiseeMhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi
Kwenye hili hakuna urefu wala ufupi wa mkono wa serikali...Serikali ina mkono mrefu na inajua jinsi ya kudeal na hawa janjajanja.