Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

elimu, elimu, elimu ndiyo shida ya tanzania
 
Na wewe ukasome vizuri muundo jeshi upoje halafu ndio hurudi hapa..usijifanye kuhuza miswaki wakati we mwenyewe kidomo kinatema...[emoji19][emoji19]
hivi nyinyi maccccccmmmmmm mlienda shule zipi? au ndiyo elimu ya sasa hivi mnayofundishwa? any way sisi wa miaka ya 80 tutawafundisha kidogo kidogo Military - Wikipedia kama kingereza hukielewi nitakutafsiria
 


Sasa kama alikuwa hajashitakiwa mpaka July 2021 alikuwa kakimbia nini?
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Samia ameingizwa chaka nene sana na wahafidhina wa CCM naye bila kuchanganya na za kwake kalivagaa lotelote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…