Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini.
Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache waisome namba warudi upinzani kama wamekasirika.
Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache waisome namba warudi upinzani kama wamekasirika.