Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hahahaha . Kitila mkumbo alishawasaliti hata wanafunzi pale UDSM alipokuwa raisi. Alipeleka Nairobi wakati wenzake yanaendelea na kunjo.Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini.
Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache waisome namba warudi upinzani kama wamekasirika.
Nilimsikia siku moja akiwa.viunga vya TBC anasema bado ana imani na ccm akiwa na magwanda ya CDM nikachoka sana.
Haikunishangaza alipohama
Msaliti huyo