Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Huko nako hawana nafasi kwakuwa walinyea Kambi, wakajiajiri kama ambavyo Wana sii hasa wanawashauri vijana wasio na ajira wakajiajiri🤸.Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini.
Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache waisome namba warudi upinzani kama wamekasirika.
Huyu Jenista watu wamelia Sana mitandaoni. Mh Rais aliangalie kwa hicho la piliKitila mswahili tu, not a result oriented person, ila Mh. Rais anajua kupatia kuchagua, kagonga mule mule, wale akina Waitara, Kitila, Mwambe, Job, piga chini, ilaaa ilaaaaa
Ilaaa ilaaaa, Jenista singependa kabisaa arudi, kabisaa
Alafu kapewa Utumishi, watu watalia balaaa, huyu hana kabisa kabisa moyo wa kuwawezesha watumishi. Shida juu ya shida huyu aisee
Zile story kuwa jamaa ni kutoka kitengo kumbe zilikuwa gia za kung'oa mademu?Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini.
Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache waisome namba warudi upinzani kama wamekasirika.
Huyu umesahau ishu ya kikokotoo atakileta tenaHuyu Jenista watu wamelia Sana mitandaoni. Mh Rais aliangalie kwa hicho la pili
Huyu Jenista watu wamelia Sana mitandaoni. Mh Rais aliangalie kwa hicho la pili
Wivu tu unakutesaHawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini.
Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache waisome namba warudi upinzani kama wamekasirika.
Waitara na Mkumbo ni wabunge hivyo usitegemee mtakula vumbi woteHuko nako hawana nafasi kwakuwa walinyea Kambi, wakajiajiri kama ambavyo Wana sii hasa wanawashauri vijana wasio na ajira wakajiajiri[emoji1732].