Rais Samia umenifurahisha kwa kuwapiga chini Kitila Mkumbo na Mwita Waitara

Hahahaha . Kitila mkumbo alishawasaliti hata wanafunzi pale UDSM alipokuwa raisi. Alipeleka Nairobi wakati wenzake yanaendelea na kunjo.
Nilimsikia siku moja akiwa.viunga vya TBC anasema bado ana imani na ccm akiwa na magwanda ya CDM nikachoka sana.
Haikunishangaza alipohama
Msaliti huyo
 
Huyo Mkumbo akafundishe.Ni mbunge wa Ubungo tangu apate Ubunge hajawahi kwenda kwa wapiga kura wake....mwaka 2025 lazima apigwe chini....akafie mbele.
Hahaha . Kaishia kuweka mabango ya ofisi ya mbunge na ana ligali libovu limeandikwa mbunge wa ubungo
 
Yaani kambi nzima ya mwendazake chali... eti movement ya 2025 weeee...

Nawashauri waje tu tudai katiba...maana katiba hii washaonja utam wake.
 
Huyo Mkumbo akafundishe.Ni mbunge wa Ubungo tangu apate Ubunge hajawahi kwenda kwa wapiga kura wake....mwaka 2025 lazima apigwe chini....akafie mbele.

Aende kwa wapiga kura kwani walimchagua?
 
Ukweli ni kwamba watabaki kwenye historia ya mawaziri na wabunge katika nchi hii. So it's not a big issue wataendelea kukumbukwa na kusomwa na vizazi vinavyokuja.
 
Waitara ulevi ndio umemponza.
Mkumbo unafiki sijui utampeleka wapi.
Kwanza hakuna mtu aliyemchagua akamuwakilishe bungeni.
Come 2025 mkumbo atakua Hana wa kumbeba.
Hahaha nna visa vyake vingi nishakutana navyo
Live huyu wait

Ova
 

Demokrasia maana yake nini. Siasa ya kuingia kabla ya balehe ndo hii. Hao wanasiasa wote wako kimalengo. Chama Ni nafasi tu. So kua kwanza na acha kuchukia kishanba.
 
Jenista alimuua mme wake!!!! Amebaki anagawa uchi ovyo ovyo kwa wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…