Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025.
Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa
Mama Samia, shtuka mapema kabla mambo hayajaanza kwenda jojo.
Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa
- Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano
- Katiba Mpya
- Ripoti ya ukaguzi wa CAG kuhusu ukwapuaji Bandarini
- Sheria ya Kodi 2021/2022 hasa kwenye Tozo za Miamala ya Simu
- Majanga ya moto yanayoendelea nchini
- Ushauri wa kisiasa
Mama Samia, shtuka mapema kabla mambo hayajaanza kwenda jojo.