digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,572
- 2,286
Mtangulizi wake ambae ni JPM alikuwa anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu.
Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia.
Kwa tunaoamini katika Mungu aliye hai, tunasema majibu huwa ni hapa hapa.