Rais Samia unakumbuka haya, naona umeanza tena kuhusu muda wa madaraka ya Urais

Kwa hiyo haitakiwi binadamu kuwa na mipango na matarajio yake kisa tu kumeundwa KIFO?!!!

#Siempre JMTšŸ™
 
Leo nawaletea tena kituko kingine ambapo Samia amekiambia kile kikosi chake cha masuala yake ya demokrasia anayoitaka yeye kuwa yupo kwenye kiti cha urais hadi 2030.

Hivi vituko kwa sasa ni vingi sana na vinanichanganya kwa sababu ndugu zangu inajulikana kuwa mwaka 2025 kutakuwa na uchaguzi mkuu.Sasa Samia kajulia wapi sasa hivi kuwa atashinda uchaguzi huo?

Hiki kiburi cha hawa viongozi kuwaona Watanzania ni takataka wasiweza kuchambua mambo wanakitoa wapi?Nani kamwakikishia Samia kuwa atashinda katika uchaguzi mkuu wa 2025?

Tanzania tutaendelea kuwa na viongozi vichaa kama hawa wasiojali sheria zetu hadi lini?Samia ameshindwa hadi kupambana na bei ya mafuta ya kula halafu ghafla anawatangazia Watanzania kuwa yupo hadi 2030?

Sasa kama yupo hadi 2030 kama anavyodai kwa nini Serikali ijisumbue kutenga fedha nyingi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2025?
View attachment 2159514
Alishajua kuwa bila katiba Mpya na Tume Huru Chadsma hawatashiriki uchaguzi hivyo kwake yeye njia ni nyeupe pee
 
Leo nawaletea tena kituko kingine ambapo Samia amekiambia kile kikosi chake cha masuala yake ya demokrasia anayoitaka yeye kuwa yupo kwenye kiti cha urais hadi 2030.

Hivi vituko kwa sasa ni vingi sana na vinanichanganya kwa sababu ndugu zangu inajulikana kuwa mwaka 2025 kutakuwa na uchaguzi mkuu.Sasa Samia kajulia wapi sasa hivi kuwa atashinda uchaguzi huo?

Hiki kiburi cha hawa viongozi kuwaona Watanzania ni takataka wasiweza kuchambua mambo wanakitoa wapi?Nani kamwakikishia Samia kuwa atashinda katika uchaguzi mkuu wa 2025?

Tanzania tutaendelea kuwa na viongozi vichaa kama hawa wasiojali sheria zetu hadi lini?Samia ameshindwa hadi kupambana na bei ya mafuta ya kula halafu ghafla anawatangazia Watanzania kuwa yupo hadi 2030?

Sasa kama yupo hadi 2030 kama anavyodai kwa nini Serikali ijisumbue kutenga fedha nyingi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2025?
View attachment 2159514
Wewe mwenyewe ni kichaa Kama hawajakuambia ninakuambia sasa.......

Una OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER na chuki dhidi ya watawala......

Unapenda kuwaaminisha watu kuwa utawala bora uko kichwani kwako...unaanzia kwako......hakika wewe ni MGONJWA.....

Mkuu

On papers ni lazima uchaguzi ufanyike 2025, lazima wagombea wawepo na vyama vishindane lakini KIUHALISIA bado hakuna upinzani wa kutishia hata robo kuiangusha CCM madarakani

Kwasbb upinzani ktk nchi yetu bado unafanya siasa za kimatukio zaidi yaani kiuwanaharakati

Pili, vyama vingi vya upinzani havina mifumo thabiti ya kiuongozi, vinategemea uwepo wa kiongozi fulani ndipo viweze kujitutumua
Kwa mfano Mbowe toka amekamatwa Chadema nayo ikarudi nyuma, kukawa hakuna agenda yoyote ya maana zaidi ya 'MboweSioGaidi' ndio imeshamiri mtaani.
Chadema imeshindwa hata kuamua baadhi ya maswala ikiwemo la wabunge wao wa viti maalumu mpaka Mbowe alipotoka ndipo kikao kikafanyika
Na hapo Mbowe ni ameshikiliwa mahabusu tu ilhali ukiangalia CCM imepata msiba wa Mwenyekiti wake na bado hakijatetereka hata kidogo

Maana yake ni kwamba CCM inaonesha wazi ni taasisi iliyoimara, ilhali vyama vingine vinategemea mtu mmoja ndio maana viongozi wake wamekuwa kama Miungu watu ndani ya vyama kwa kujiona wao ndio wenye uwezo pekee wa kuongoza Chama

Mbowe ana miaka 17 madarakani ktk uenyekiti Chadema, ilhali CCM kwa miaka hio 17 tayari wana wenyeviti Taifa 4 (Mkapa - Samia)

Sasa ikiwa mtu kang'ang'ania uongozi ktk chama kidogo kama Chadema miaka yote hio vipi mtu huyu akichukua uongozi wa Nchi si atasabisha jeshi limng'oe madarakani kwa ung'ang'anizi

Sasa kwa minajili hio sio tu Samia na CCM yake bali hata wananchi walio wengi wanaamini bado CCM ina rasilimali watu wa kutosha wenye kuweza kuongoza hii nchi

Upinzani wa Tz bado sana ktk kukamata madaraka ya nchi
 
Huyo anagugumia kama mtu aliyekunywa ndimu ni Zitto?
 
Naunga mkono japo ni ukweli mchungu
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Leo nawaletea tena kituko kingine ambapo Samia amekiambia kile kikosi chake cha masuala yake ya demokrasia anayoitaka yeye kuwa yupo kwenye kiti cha urais hadi 2030.

Hivi vituko kwa sasa ni vingi sana na vinanichanganya kwa sababu ndugu zangu inajulikana kuwa mwaka 2025 kutakuwa na uchaguzi mkuu.Sasa Samia kajulia wapi sasa hivi kuwa atashinda uchaguzi huo?

Hiki kiburi cha hawa viongozi kuwaona Watanzania ni takataka wasiweza kuchambua mambo wanakitoa wapi?Nani kamwakikishia Samia kuwa atashinda katika uchaguzi mkuu wa 2025?

Tanzania tutaendelea kuwa na viongozi vichaa kama hawa wasiojali sheria zetu hadi lini?Samia ameshindwa hadi kupambana na bei ya mafuta ya kula halafu ghafla anawatangazia Watanzania kuwa yupo hadi 2030?

Sasa kama yupo hadi 2030 kama anavyodai kwa nini Serikali ijisumbue kutenga fedha nyingi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2025?
View attachment 2159514
Ndugu hujui kuwa haitaa iwezkna inch Ije kutawaliwa na mpinzani.?? Hata iweje?? Na kamati Ina agenda na Rais, Kwanini mchakato wa Katiba uanze 2025,
 
Bibie lugha yake ni tata sana. Yaani hiyo tume au kamati , na yeye, wamejiajiri, tena kwa miaka 9? Dhihaka hii!
 
Mtangulizi wake ambae ni JPM alikuwa anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu.

Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia.

Kwa tunaoamini katika Mungu aliye hai, tunasema majibu huwa ni hapa hapa.

View attachment 2159486View attachment 2159488View attachment 2159490
Wananchi gani hao waliotaka jpm kuongezewa muda?
 
Wewe mwenyewe ni kichaa Kama hawajakuambia ninakuambia sasa.......

Una OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER na chuki dhidi ya watawala......

Unapenda kuwaaminisha watu kuwa utawala bora uko kichwani kwako...unaanzia kwako......hakika wewe ni MGONJWA.....

#Siempre JMTšŸ™
Mwenye chuki,kichaa na mgonjwa ni huyu anaehamasisha ufisadi katika Taifa langu zuri pamoja na wewe unaemuunga mkonošŸ’šŸ’šŸ’
 
Mkuu

On papers ni lazima uchaguzi ufanyike 2025, lazima wagombea wawepo na vyama vishindane lakini KIUHALISIA bado hakuna upinzani wa kutishia hata robo kuiangusha CCM madarakani

Kwasbb upinzani ktk nchi yetu bado unafanya siasa za kimatukio zaidi yaani kiuwanaharakati

Pili, vyama vingi vya upinzani havina mifumo thabiti ya kiuongozi, vinategemea uwepo wa kiongozi fulani ndipo viweze kujitutumua
Kwa mfano Mbowe toka amekamatwa Chadema nayo ikarudi nyuma, kukawa hakuna agenda yoyote ya maana zaidi ya 'MboweSioGaidi' ndio imeshamiri mtaani.
Chadema imeshindwa hata kuamua baadhi ya maswala ikiwemo la wabunge wao wa viti maalumu mpaka Mbowe alipotoka ndipo kikao kikafanyika
Na hapo Mbowe ni ameshikiliwa mahabusu tu ilhali ukiangalia CCM imepata msiba wa Mwenyekiti wake na bado hakijatetereka hata kidogo

Maana yake ni kwamba CCM inaonesha wazi ni taasisi iliyoimara, ilhali vyama vingine vinategemea mtu mmoja ndio maana viongozi wake wamekuwa kama Miungu watu ndani ya vyama kwa kujiona wao ndio wenye uwezo pekee wa kuongoza Chama

Mbowe ana miaka 17 madarakani ktk uenyekiti Chadema, ilhali CCM kwa miaka hio 17 tayari wana wenyeviti Taifa 4 (Mkapa - Samia)

Sasa ikiwa mtu kang'ang'ania uongozi ktk chama kidogo kama Chadema miaka yote hio vipi mtu huyu akichukua uongozi wa Nchi si atasabisha jeshi limng'oe madarakani kwa ung'ang'anizi

Sasa kwa minajili hio sio tu Samia na CCM yake bali hata wananchi walio wengi wanaamini bado CCM ina rasilimali watu wa kutosha wenye kuweza kuongoza hii nchi

Upinzani wa Tz bado sana ktk kukamata madaraka ya nchi
Yaani mwenyekiti wa CCM afungwe halafu CCM iendelee na Harakati zake Kama kawaida ?
 
Back
Top Bottom