digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,572
- 2,286
Bimdashi hicho kiti alikitaman mda mrefu sema mda haurudi nyuma..Haya wale JF Political Pundits karibuni.
Ulimbiwa wewe na nani?Haya wale JF Political Pundits karibuni.
Hivi huyu mwehu Musiba ameshalipa pesa za Membe?Mtangulizi wake ambae ni JPM alikua anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu.....
Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia.....
Kwa tunaoamini katika Mungu aliye hai, tunasema majibu huwa ni hapa hapaView attachment 2159486View attachment 2159488View attachment 2159490
Nyumba yake inapigwa mnada analia tuHivi huyu mwehu Musiba ameshalipa pesa za Membe?
Hivi ulishawah kumsikia JPM akisema anataka kuendelea kuwa madarakan ata kama akimaliza mda wake?Mtangulizi wake ambae ni JPM alikua anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu.....
Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia.....
Kwa tunaoamini katika Mungu aliye hai, tunasema majibu huwa ni hapa hapaView attachment 2159486View attachment 2159488View attachment 2159490
Ulimbiwa wewe na nani?
Ulimbiwa na nani?
Hao dogo na bimdashi ndio kina nani
Sio wote humu tunaishi uswahilini kama wewe , kuliko jaa majungu na mafumbo
USSR
RelaxUlimbiwa wewe na nani?
Ulimbiwa na nani?
Hao dogo na bimdashi ndio kina nani
Sio wote humu tunaishi uswahilini kama wewe , kuliko jaa majungu na mafumbo
USSR
kusoma hukujua lakini picha hukuiona?Hivi ulishawah kumsikia JPM akisema anataka kuendelea kuwa madarakan ata kama akimaliza mda wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafahamu hii namba USSR aje nimpige na kitu kwa chinihaya subiri matusi