Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Tarehe 23/09 walijaribu kupima kina cha maji kwa kuweka mguu. Nadhani matokeo unayakumbuka!!This is a logical non sequitur fallacy.
Magufuli kuwakatalia na wao kutofurukuta (si kweli kwamba hawakufurukuta, watu walipinga) hakufanyi haki ya katiba kutokuwa haki ya katiba.
In fact, Magufuli kuwakatalia haki yao ya kikatiba na wao kutofurukuta siku zike ni sababu nzuri sana ya wao kutorudia kosa hilo hilo la kutofurukuta mara nyingine.
Ukikosea mara moja, hiyo si sababu ya kurudia kukosea nara nyingine.
Hiyo ni sababu ya kujizatiti usikosee mara nyingine.
Umetoa sababu kwa nini ni muhimu CHADEMA kukataa kurudi tena kwenye siasa kama za kipindi cha Magufuli.
Waambieni tu CHADEMA wabadili strategy yao ya upinzani. Wasidhani theory ya one size fits all itawasaidia. Walivyo deal na Jakaya Kikwette ndiyo walivyotaka ku-deal na Magufuli na ndivyo wana deal na Samia. Haya masiaasa ya majitaka ambayo vijana wao BAVICHA wanayafanya ndiyo yanasabaisha mkwamo huo.
Kwa nini wasiwe kama ACT? Kwani mpaka utukane ndiyo watu wakuelewe?
Halafu chama chenyewe kinachotaka utwala wa dola kina mwenyekiti mmoja tangu mwaka 2003?? Tuseme hakuna mwana CDM mwingine mwenye uwezo?