Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

Tarehe 23/09 walijaribu kupima kina cha maji kwa kuweka mguu. Nadhani matokeo unayakumbuka!!

Waambieni tu CHADEMA wabadili strategy yao ya upinzani. Wasidhani theory ya one size fits all itawasaidia. Walivyo deal na Jakaya Kikwette ndiyo walivyotaka ku-deal na Magufuli na ndivyo wana deal na Samia. Haya masiaasa ya majitaka ambayo vijana wao BAVICHA wanayafanya ndiyo yanasabaisha mkwamo huo.

Kwa nini wasiwe kama ACT? Kwani mpaka utukane ndiyo watu wakuelewe?

Halafu chama chenyewe kinachotaka utwala wa dola kina mwenyekiti mmoja tangu mwaka 2003?? Tuseme hakuna mwana CDM mwingine mwenye uwezo?
 
Kwa nini unataka kuwapangia watu jinsi ya kutumia haki yao ya kikatiba na kiutu?

Hiyo ni haki yao, waachie waitumie wanavyotaka.
 
Kama ni haki kikatiba mbona Magufuli aliwakatalia na hawakufurukuta??
Na hata baada ya kujua kuwa Magufuli alifanya ushenzi kwa demokrasia yetu bado unatetea huo mfumo? Houoni kwamba wewe ni mtu asiye na haki wala akili?
 
Kwa nini unataka kuwapangia watu jinsi ya kutumia haki yao ya kikatiba na kiutu?

Hiyo ni haki yao, waachie waitumie wanavyotaka.
Ukicheka na nyani utavuna mabua
 
Na hata baada ya kujua kuwa Magufuli alifanya ushenzi kwa demokrasia yetu bado unatetea huo mfumo? Houoni kwamba wewe ni mtu asiye na haki wala akili?
Samia amejitahidi kurekebisha mpaka kuunda Tume ya Haki Jinai, lakini manyumbu ya CDM yamekaidi
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua
Viongozi wana wajibu wa kuheshimu utawala wa sheria, utawala bora, haki za kikatiba na za watu.

Wewe huelewi hayo mambo, umelelewa kwa kubwengwabwengwa, kubwengana ndicho kitu unachoelewa.

You are a primitive brute. A country bumpkin.

Tuna watu wengi kama wewe. Ndiyo maana hatuendelei.
 
Yeye anahamasisha kukusanya kodi bila kuhamasisha kukomesha ruwa ,ufisadi na matumizi mabaya ya kidi anafikiri nani atamuelewa..
 
Tengeneza internet yako ya weusi ya mabua kwanza halafu ndiyo tujadiliane humo utukane wakoloni.

Sasa wewe hapa unaleta habari za "baniani mbaya, kiatu chake dawa".

You are a public disease.

Nakupeleka ignore list sina muda wa kupoteza kujibizana na mla mavi kama wewe.

Kuanzia hapa sitaona chochote ulichoandika au utakachoandika.
 
Wewe mpumbavu kila mwaka unatangaza kumipeleka IGNORE list, lakini bado unashoboka kujibu post zangu.

Hebu niweke IGNORE list nami nipumzike kusoma ugoro
 
Naona umeyatimba kwa Stuxnet mpaka umeamua kumu block. Free speech iko wapi ?
 
Wewe ungekuwa Lissu ungekuwa na subira?

1. Yeye alikuwa anafahamu pengine kabla yetu sisi kwamba kwa uhakika kabisa, serikali ndo ilihusika kutaka kumuuwa. Pamoja na hilo, serikali hii ilikataa kumlipia matibabu na stahiki zake na hata kule bungeni. Pia serikali ilikataa kumuhakikishia ulinzi.

2. Hakuna maridhiano yanayoweza kufanikiwa bila kuwa na ukweli. Kama unafahamu “Truth and reconciliation goes hand to hand”

4R ni uongo na usanii. Upigwe risasi 19, uteseke na kuponea kifo. Na maisha yako yamebadilika kabisa. Wewe ungeendelea kuvumilia pamoja na kunyimwa haki zako za kimsingi na hata kutaka kunyimwa haki ya kuishi?
 
Acha kutupanga

Sasa angekosolewa kama jirani zetu wanachofanya ingekuwaje?

Ukiwa kiongozi utapokea mengi ni kujitahidi kuwa humble kwa unaowaongoza.

Kama kiongozi. Jipe muda wa kutafakari kwanza sio kujibu kwa hisia zako binafsi.

Awe anakumbuka anaongoza nchi sio familia. Busara Hekima na Upole ni njia sahihi.
 
Maandamnobyadiyo ya amani hsyaruhusiwi.

Hivi umwambie akuwachie ufanye maandamano ambae kauli nbiu yako ya naandamno ni yeye aondoke nadarakani.


. Una akili sawa wewe?
 
Hahaha
Maandamnobyadiyo ya amani hsyaruhusiwi.

Hivi umwambie akuwachie ufanye maandamano ambae kauli nbiu yako ya naandamno ni yeye aondoke nadarakani.


. Una akili sawa wewe?
unadhani ile kauli mbiu ingemwondoa?
 
Angemjibu hivyo Magufuli ningemuelewa, lakini kwa Samia kajiharibia sana.
Maandamnobyadiyo ya amani hsyaruhusiwi.

Hivi umwambie akuwachie ufanye maandamano ambae kauli nbiu yako ya naandamno ni yeye aondoke nadarakani.


. Una akili sawa wewe?

Hawa manyumbu wanaandika uchuro tu hata hawaelewi uongozi wa nchi ni nini!!. Mtu ana bango limeandika Samia Must Go, halafu anataka kuandamana
 
Angemjibu hivyo Magufuli ningemuelewa, lakini kwa Samia kajiharibia sana.


Hawa manyumbu wanaandika uchuro tu hata hawaelewi uongozi wa nchi ni nini!!. Mtu ana bango limeandika Samia Must Go, halafu anataka kuandamana
Hao ni kondoo tu.

Aliyewaita kondoo hajakosea,
 
Mkuu kwa fikra modeli hii, ninashangaa jinsi ambavyo huwa unamshambulia mwendazake Magufuli kwa ukali sana.

Huoni kuwa watawala wa CCM lengo lao ni moja na njia yao hatimaye ni ileile. (ushindi ni lazima; kwa jasho na damu).

Basi bora angalau ungewashauri CHADEMA waachane kabisa na siasa za kupambania uongozi wa nchi BADALA ya kuwanasihi wawe kama ACT! Heri wafungashe virago na kila mmoja ashike hamsini zake kuliko kuwa hivyo unavyotaka.

Naamini wewe una uelewa wa kutosha kujua kuwa CHADEMA kamwe haiwezi kuwa kama ACT. Hakuna mwananchi atakayewaelewa wakiamua kuwa hivyo. Na ikitokea, hata wewe binafsi utaenda kuchekea chooni!
 
Kwa sababu CHADEMA ni mali ya Mbowe na mkwewe Edwin Mtei ndiyo maana haiwezi kuwa kama ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…