Rais Samia unalea tabia zitakazokutesa mwenyewe

Isaidie mahakama kipengele cha ushaidi ili Lisu apatiwe haki yake mapema.


Kusota rumande NI kero kwake . SASA NI wakati WA kupumzika kaburini


Uhaini umetekelezwq na mtu mmoja.
Muhaini hatakiwi anyongwe haraka anatakiwa akae mahabusu muda mrefu kwanza ili iwe funzo kwa wengine
 
Nchi ilikuwa bado haijawa tayari kuongozwa na mwanamke ambaye hakujiandaa kuwa rais
 
Atakemeaje naye ndiye amemtuma huyo Sheikh aseme hivyo? Madhila yote wanayopitia Chadema ikiwepo kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kufunguliwa kesi za uwongo na kuuwawa kikatili kama ilivyokuwa kwa Ali Kibao na maagizo mahsusi toka kwake.
 
Leo hujaja na code!!?..kuna watu wengi hu-risk maisha yao kunusuru taifa,one for the team,kama raia buku wana ebola na wamejulikana,piga moto kuokoa 60m+ wasio na ebola,hakuna cha ajabu kwenye kauli ya sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…