TBC mechi ya Taifa Stars walikua live na vyombo vingine vingi tu nchini pia walikua live hicho cha kufananisha na huko kwa watu wa fujo na vurugu mie ndiko hasa ningependelea kupaelezea...
vinginevyo,
mengine ni malalamiko yasiyo na tija kwa vitu bayana 🐒
Mkuu hii siyo personal wananzengo wanataka hili la timu zao liwepo rasmi kwenye television yao wanayoilipia kodi bure.
Kwamba wao ndiyo wenye nchi, awasikilize.
Au siyo hivyo ndugu yangu?