TBC mechi ya Taifa Stars walikua live na vyombo vingine vingi tu nchini pia walikua live hicho cha kufananisha na huko kwa watu wa fujo na vurugu mie ndiko hasa ningependelea kupaelezea...
vinginevyo,
mengine ni malalamiko yasiyo na tija kwa vitu bayana π
Kila kitu kulalamikaa na kumsukumizia Saa 100......kulila mtu analalamika tu anzia Saa 100 hadi alie kindergarten khaa nchii hiiiiKenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure.
Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo
Soma Pia: DR Congo VS Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024
USSR
Mechi ilikua live TBC unless ulileta makasiriko yako hukutaka kuiskiza πMkuu hii siyo personal wananzengo wanataka hili la timu zao liwepo rasmi kwenye television yao wanayoilipia kodi bure.
Kwamba wao ndiyo wenye nchi, awasikilize.
Au siyo hivyo ndugu yangu?
Mechi ilikua live TBC unless ulileta makasiriko yako hukutaka kuiskiza π
Zingatia ukweli wa maelezo yangu muhimu kwamba, Mechi ya Taifa Stars ilikua mubashara jana katika vyombo vya habari vya umma na visivyo vya umma, acha kubabaika πMkuu wapi nilikataa haukuwapo au hata kuwa na makasiriko?
Rejea kuona nilichoandika kujiridhisha.
Zingatia ukweli wa maelezo yangu muhimu kwamba, Mechi ya Taifa Stars ilikua mubashara jana katika vyombo vya habari vya umma na visivyo vya umma, acha kubabaika π
Zingatia ukweli wa maelezo yangu muhimu kwamba, Mechi ya Taifa Stars ilikua mubashara jana katika vyombo vya habari vya umma na visivyo vya umma, acha kubabaika
Umesahau ndio mtu anayesifiwa na kila kitu nchi hiiKila kitu kulalamikaa na kumsukumizia Saa 100......kulila mtu analalamika tu anzia Saa 100 hadi alie kindergarten khaa nchii hiiii
Kila kitu ni saa 100 khaaaa......hata mafuriko au mud slidding HANANG NI saa 100 kaleta hahahaUmesahau ndio mtu anayesifiwa na kila kitu nchi hii