Rais Samia, unapoteua zingatia watumishi wa muda mrefu na wenye uzoefu serikalini badala ya kuwatoa mtaani

 
Mimi naamin wilaya zina watu wanaoweza shika hizo nafasi.

Nakupata sana ndugu yangu.
Naam kaka.....

Kuna wakati inaonekana kama Serikali inakosea kwenye BAADHI ya mambo ila tutambue kuwa Serikali ni ya watu....vile watanzania walivyo ndivyo pia INAAKISI UTENDAJI WA SERIKALI YAO.....

Binafsi ninaamini wanaofanya VETTING ya maDC huwa WANAJIRIDHISHA KWA MENGI....

#CCM IENDELEE KUSHIKA HATAMU
#NCHI KWANZA
#KAZIIENDELEE
 
Wasanii,mamiss,wachekeshaji ndio wanateuliwa huu ukuu wa wilaya naona umepoteza hadhi siku hizi.wanaokotwa watu kitaa hawa ndio wanaokuja kusumbua wananchi kama akina sabaya.
Hawajui hata utumishi wa umma unaendaje


Hatari sana
 
Wakati Jokate anateuliwa ukuu wa wilaya Kisarawe hatukusikia hizi kelele, ... nashangaa kipi kipya saana mama kafanya hata wadau waseme ati sasa hatuna rais?
ACHENI DOUBLE STANDARDS!
 
Kwa
Naunga mkono kwa wale walio onesha ufanisi mzuri wanastahili kuangaliwa
ILA kuna wale watumishi wa kufanya kazi kwa mazoea na kukwamisha mambo mengi yasiende kwenye maofisi ya serikali;
Urasimu mwiiingi usio kuwa na maana na kutojua kuwa wateja/wananchi hawaendi maofisini kwao kuwasumbua BALI ndio kazi iliyowaweka maofisini; hivyo wanatakiwa watoe majibu sahihi na ya haraka
 
Wasanii,mamiss,wachekeshaji ndio wanateuliwa huu ukuu wa wilaya naona umepoteza hadhi siku hizi.wanaokotwa watu kitaa hawa ndio wanaokuja kusumbua wananchi kama akina sabaya.
Hawajui hata utumishi wa umma unaendaje


Hatari sana
Kwani enzi za zamani hawakuwa wakiteuliwa wenye USHAWISHI KATIKA JAMII ?!!

USHAWISHI siku hizi uko kwenye SOCIAL MEDIA....habari na matukio yanafika haraka.....

Sasa hizo enzi za RTD kulikuwa na wasanii wengi zaidi ya akina PWAGU NA PWAGUZI na wenzao wachache ?!!!!

Huko nyuma Mashindano ya uMISS yalikuwa yanaonekana MUBASHARA kiganjani kwa watu walioko VIJIJINI ?!!!!!

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Sawa sawa ngoja uvccm waendelee kunyooka hawajui hata kinachoendelea
 
Nami pia UVCCM sasa tunanyookaje mkuu ?!! 🤣🤣
Pole acha akina niki na mamisi wawe madc.
Msileft magroup,kuna ndugu yangu mmoja uvccm kindaki ndaki yupo frustrated toka jana haelewi kinachoendelea.🤣🤣🤣
 
Sawa sawa ngoja uvccm waendelee kunyooka hawajui hata kinachoendelea
Wewe ni mataga sio uvccm?
 
Pole acha akina niki na mamisi wawe madc.
Msileft magroup,kuna ndugu yangu mmoja uvccm kindaki ndaki yupo frustrated toka jana haelewi kinachoendelea.🤣🤣🤣
Haahaa, asikate tamaa atapewa uded
 

Uliposema Tuu Eti Miaka 20,
Nami Nikakuponda Mnoo Tena Ngoja Nikufungulie Uzi wa Kukupinga!
Eti Uzoefu Miaka 20????
Ungesema Kuanzia Miaka 5Kwenda Mbele na Elimu Fulani hapo Sawa!
Hapo Inaonekana wewe ni Mstaafu mtarajiwa Yaani Soon!
Sasa Unatafuta Chaka la Kustaafia!
Chama Kilichopo Madarakani Kinapanga safu yake chenyewe...Usikipangie...
Ndio Maana Kuna Mafunzo Kazini!
Hatutaki kufanya Kazi kwa Mazoea...
Mengine upo sahihi ila Kwenye 20trs tuu umeonesha Uzee ktk Kazi badala ya Uzoefu!
 
Kwa jinsi mitandaoni kulivyochafuka, sitoshangaa rais akibadili gia...
 
Hivi nyie wazee mna matatizo gani?,yaan mnataka mn'gan'ganie madarakani mpaka lini?!,achen vijana nao wapate uzoefu kwenye siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…