Huhitaji umri na udadisi wowote hapa. Tundu Antipas Lissu ndio ushahidi unaoishi wa vitendo viovu vya Magufuli na watu wake. Hivi unawezaje wewe kuwa na akili timamu kutetea yanayoendelea nchini?
Unauliza maswali magumu kwa kichwa kizito.Umehama sasa kwenye Swali uliloulizwa, hajazungumzia kutetea yanayoendelea unamlisha maneno, Magu hakuanzisha haya Wala kwa Samia hayatakua yamwisho. Mfumo ni zaidi ya Rais.
Kama unautimamu kamili, nikuulize kwani kina Dr Ulimboka au Dr Mvungi walikutana na uvamizi kipindi Gani?
Mvungi na Ulimboka waliuawa kwa mizozo na watu binafsi na sio na serikali kama wakati wa Magufuli na dada yake Samia. Tunaona kabisa Jeshi la Polisi na TISS wakishiriki kwenye mauaji ya kisiasa. Inasikitisha sana na haya yote Magu aliyafanya kwa kiwango kikubwa kuliko awamu nyingine yoyote ile. Lissu anajua vizuri ushenzi huu.Umehama sasa kwenye Swali uliloulizwa, hajazungumzia kutetea yanayoendelea unamlisha maneno, Magu hakuanzisha haya Wala kwa Samia hayatakua yamwisho. Mfumo ni zaidi ya Rais.
Kama unautimamu kamili, nikuulize kwani kina Dr Ulimboka au Dr Mvungi walikutana na uvamizi kipindi Gani?
Ndio uthubuti hata wa kuuwa wapinzani na demokrasi nzima, alifanya kweli kweli hayo na la ajabu bado ana washabiki wengi. Nadhani hawa mashabiki wake ni watu wasio na mioyo ya kibinadamu kabisa au ni wajinga kupindukia.Magufuli tunamsifu kwa uweledi wake wa kuibadili hii nchi.
Toka nianze kujielewa sijai ona rais ambaye alikua na uthubutu kama Mafuguli.
Kumbe Ulimboka aliishauawa?😥😥Mvungi na Ulimboka waliuawa kwa mizozo na watu binafsi na sio na serikali kama wakati wa Magufuli na dada yake Samia. Tunaona kabisa Jeshi la Polisi na TISS wakishiriki kwenye mauaji ya kisiasa. Inasikitisha sana na haya yote Magu aliyafanya kwa kiwango kikubwa kuliko awamu nyingine yoyote ile. Lissu anajua vizuri ushenzi huu
Nafikiri umepata pointi kafikirie vizuri acha kushabikia wauaji.Kumbe Ulimboka aliishauawa?😥😥
Eti mizozo ya watu binafsi😂😂
Ngoja nikuache na akili zako fazili.
Point ipi? Umemuua Ulimboka tayari😂 . Dr Mvungi umemjulia kwa kumsoma mtandaoni? Hakika lile swali la Kujua Umri wako Lilikua la msingi sana. Jioni njemaNafikiri umepata pointi kafikirie vizuri acha kushabikia wauaji.
Amesema Control Number imesitishwa?Una uhakika control namba hazipo? Wizi ulidhibitiwa kipindi Cha Magu? Una uhakika?
Kila mtu anakuja na mfumo wake kama upi,weka uthibitisho wa haya madai Yako.
Miaka yote Madini Huwa yanasafirishwa na Serikali? Mbona unaropoka tuu bila utaratibu? Ni lini upotoshaji wa Madini uliwahi isha?
Mwisho pamoja na hayo unayodai wewe kwamba Kuna shida,huoni kwamba Mapato ya Madini yameongezeka mara 2 na sekta ya Madini Sasa inachangia 10% ya GDP na inaongoza Kwa forex?
Unahisi Kipimo chako na madai Yako Yako sahihi kiasi gani ilihali namba zinaongea +ve?
Nimesemaje, kamuulize Ulimboka.Huhitaji umri na udadisi wowote hapa. Tundu Antipas Lissu ndio ushahidi unaoishi wa vitendo viovu vya Magufuli na watu wake. Hivi unawezaje wewe kuwa na akili timamu kutetea yanayoendelea nchini?