Rais Samia unapotoshwa sana, Magufuli alikuwa sahihi sehemu nyingi japokuwa ana makosa ya kibinadamu

Accumen Mo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
18,036
Reaction score
39,882
Wasalaam wanajf

Kama kichwa mada hapo, hili suala linasikitisha sana kwa kweli nimeona nitoe ya moyoni juu yanayoendelea, inasikitisha sana pale ambapo tunaona Rais anafumua mifumo ya mtangulizi wake bila ya kujua uhalisia wa mambo hayo.

Pia nikupongeze kwa kumteua Bw. Lyimo kuwa kamishina wa kudhibiti madawa ya kulevya, huyu ni mtu sahihi kwa wakati sahihi wengi tunamjua na kazi yake inaonekana. Pia, muongezee ulinzi wa kutosha ni mtu anayepambana na genge la majambazi wa nchi.

Baadhi ya mifumo iliwekwa madhubuti ili kuzuia wizi ila Rais wetu unafumua tu bila ya kuangalia mara mbili , hii ni kutokana na ushauri kutoka kwa watu wako wa karibu ..Kwanza lazima ukubali kama Rais hauwezi kujua kila na uendeshaji wake, mbaya zaidi unategemea washauri ambao kiuhalisia wanakupotosha.

Miongoni mwa mifumo aliyoweka mtangulizi wako ni malipo ya control number , bidhaa muhimu kama madini , nyara serikali (Government trophies) , Mafuta na gasi yaani bidhaa muhimu nchi ziwe zinaondoshwa na kuingia chini ya uangalizi wa wakala serikali ila mlikuja mkavunja huo mfumo bila ya kujua aliyeweka alikuwa na maana gani.

Nchi maskini kama hii unawezaje kuacha madini yasafirishwe na watu binafsi , watu wanaondosha shehena ya madini pale bandari kwa kudanganya thamani halisi ya madini inakuwa chini(under declared customs svalue) hapo serikali inakosa mapato halisi ya thamani ya madini . Tunasikia watu wanatorosha kwenda kenya je , ni kwa namna gani unaacha watu binafsi wanapitisha mpakani bila ya serikali kujua? Wakati huko nyuma mtangulizi wako alikuwa na mfumo mzuri ila wewe ulikuja kudanganywa ukautoa.

Nchi haiwezi kuendelea ikiendeshwa kama timu ya mpira, kila mtu anakuja na mifumo yake ila ukizingatia hata wewe Rais ulikuwe ni sehemu ya mtangulizi.

Una uhakika control namba hazipo? Wizi ulidhibitiwa kipindi Cha Magu? Una uhakika?

Kila mtu anakuja na mfumo wake kama upi,weka uthibitisho wa haya madai Yako.

Miaka yote Madini Huwa yanasafirishwa na Serikali? Mbona unaropoka tuu bila utaratibu? Ni lini upotoshaji wa Madini uliwahi isha?

Mwisho pamoja na hayo unayodai wewe kwamba Kuna shida,huoni kwamba Mapato ya Madini yameongezeka mara 2 na sekta ya Madini Sasa inachangia 10% ya GDP na inaongoza Kwa forex?

Unahisi Kipimo chako na madai Yako Yako sahihi kiasi gani ilihali namba zinaongea +ve?
 
Control number kaweka nan? Wasiwasi wangu zitakuja kuondolewa hata yule wakala GPSA anaweza kuondolewa .

Nimeandika wapi serikali inasafirisha madini, pale bandari kulikuwa na agent wa serikali ndio wanaondoshe shehena za madini pamoja na kukadiria thamani halisi ya kulipa kodi. Wapo TRA ambao ni wezi miaka mingi na ndio wahusika ila kulikuwa na agent wa kuingiza nyaraka.

Mapato yameongezeka wapi wakti kila siku kesi acheni janja janja...Ipo siku ataondoka tu ndio atajua umuhimu wake.

Acheni uchawa hauna ishu.
 
Control number kaweka nan ? Wasiwasi wangu zitakuja kuondolewa hata yule wakala GPSA anaweza kuondolewa .

Nimeandika wapi serikali inasafirisha madini , pale bandari kulikuwa na agent wa serikali ndio wanaondoshe shehena za madini pamoja na kukadiria thamani halisi ya kulipa kodi ...Wapo TRA ambao ni wezi miaka mingi na ndio wahusika ila kulikuwa na agent wa kuingiza nyaraka .

Mapato yameongezeka wapi wakti kila siku kesi acheni janja janja...Ipo siku ataondoka tu ndio atajua umuhimu wake .

Acheni uchawa hauna ishu .
Kwani lazima ziwepo?
 
Ndio maana tunasema, dira na mpango wa maendeleo uwepo. Chama kinachoingia madarakani kiwe na ilani ya namna kitakavyotekeleza na kufanikisha hiyo dira.

Hii kila mtu akija anafumua na kuanza mambo yake, hatutafika popote na sifikirii tuna rasirimali nyingi za kuchezea kiasi hicho.
 
Kila siku mnampa safari ili iweje kama sio kumtoa nje ya mchezo , kwa kweli mshaurini vizuri atakuja kujuta akiwe nje ya urais
Rais akisafiri ndio Urais unafanya na mwingine au? Wakati Mwendazake hasafiri ndio ilikuwa nini labda?
 
Kama wewe unadhani unauelewa kuliko raisi,basi uchaguzi ujao jaza fomu ugombee uraisi,ukishinda uweze kiyafanya hayo mapendekezo yako.
 
Wasalaam wanajf

Kama kichwa mada hapo, hili suala linasikitisha sana kwa kweli nimeona nitoe ya moyoni juu yanayoendelea, inasikitisha sana pale ambapo tunaona Rais anafumua mifumo ya mtangulizi wake bila ya kujua uhalisia wa mambo hayo.

Pia nikupongeze kwa kumteua Bw. Lyimo kuwa kamishina wa kudhibiti madawa ya kulevya, huyu ni mtu sahihi kwa wakati sahihi wengi tunamjua na kazi yake inaonekana. Pia, muongezee ulinzi wa kutosha ni mtu anayepambana na genge la majambazi wa nchi.

Baadhi ya mifumo iliwekwa madhubuti ili kuzuia wizi ila Rais wetu unafumua tu bila ya kuangalia mara mbili , hii ni kutokana na ushauri kutoka kwa watu wako wa karibu ..Kwanza lazima ukubali kama Rais hauwezi kujua kila na uendeshaji wake, mbaya zaidi unategemea washauri ambao kiuhalisia wanakupotosha.

Miongoni mwa mifumo aliyoweka mtangulizi wako ni malipo ya control number , bidhaa muhimu kama madini , nyara serikali (Government trophies) , Mafuta na gasi yaani bidhaa muhimu nchi ziwe zinaondoshwa na kuingia chini ya uangalizi wa wakala serikali ila mlikuja mkavunja huo mfumo bila ya kujua aliyeweka alikuwa na maana gani.

Nchi maskini kama hii unawezaje kuacha madini yasafirishwe na watu binafsi , watu wanaondosha shehena ya madini pale bandari kwa kudanganya thamani halisi ya madini inakuwa chini(under declared customs svalue) hapo serikali inakosa mapato halisi ya thamani ya madini . Tunasikia watu wanatorosha kwenda kenya je , ni kwa namna gani unaacha watu binafsi wanapitisha mpakani bila ya serikali kujua? Wakati huko nyuma mtangulizi wako alikuwa na mfumo mzuri ila wewe ulikuja kudanganywa ukautoa.

Nchi haiwezi kuendelea ikiendeshwa kama timu ya mpira, kila mtu anakuja na mifumo yake ila ukizingatia hata wewe Rais ulikuwe ni sehemu ya mtangulizi.

Bosi usisumbuke, mimi nina nadharia ya kijinga kijinga. Dkt Samia kama mwenzake Dkt Magufuli, tofauti ni kuwa Dkt Magufuli nadhani aliamini ktk ushauri wa TISS na alifanyia kazi report na mapendekezo ya TISS, Dkt Samia nadhani akipelekewa yeye huwa anakuwa na washauri wengine ambao hawampendi maana wanajiona wao ndiyo walimuweka na kumfikisha hapo alipo na hivyo wanahakikisha hafanyi maamuzi sahihi, na inamgharimu urais wake na mpaka sasa chuki kuu imesababishwa na hilo genge ambalo anadhani ni zaidi ya mfumo halisi. Mama yetu, Dkt Samia kazi iliyopo mbele yake ni ngumu sana, ingawa kikundi fulani anashani ndiyo sahihi zaidi na kimekuwa kikimdanganya bila yeye kuona uhalisia. Mfano tu chuki iliyopo kwa wapiga kura ni kubwa sana tena sana ila akina Mchengerwa ndiyo kawaamini hahaha wakimuambia Mama unaupiga mwingi basi anadhani ni kweli. Kwa ujumla tumuombee Dkt Samia maana kama hatopita kama rais 2025 basi inawezekana kama taifa tukawa na hali ngumu sana mbeleni kwa sababu huyo atakayekuja atataka kufumua mifumo yote ya kifisadi ya Dkt Samia na akiwa anafanya hivyo maana yake nchi haitapiga hatua ni kama yeye Dkt Samia alivyofumua ya Dkt Magufuli matokeo yake miaka yake ya urais ameitumia kufumua ya Dkt Magufuli na kujaribu kuonesha yeye ni better kuliko Dkt Magufuli kitu ambacho kimemgharimu sana na kumshushia hadhi yake mbele ya wapiga kura. So ni bora Dkt Samia aendelee ili tuwe na stability ya uchumi angalau mpaka 2030.
 
Hawa jamaa wanampangia safari asikae nchini
 
Sana, yaani walijipanga toka mwanzo. Kibaya kabisa walimtengenezea mazingira ya kumchukia Msukuma wa watu Dkt Magufuli, wakati Dkt Magufuli alikuwa anampenda sana kwanza tu kwa kuwa mweupe hahaha. Tumuombee sana Dkt Samia apite 2025.
 
Wasalaam wanajf

Kama kichwa mada hapo, hili suala linasikitisha sana kwa kweli nimeona nitoe ya moyoni juu yanayoendelea, inasikitisha sana pale ambapo tunaona Rais anafumua mifumo ya mtangulizi wake bila ya kujua uhalisia wa mambo hayo.

Pia nikupongeze kwa kumteua Bw. Lyimo kuwa kamishina wa kudhibiti madawa ya kulevya, huyu ni mtu sahihi kwa wakati sahihi wengi tunamjua na kazi yake inaonekana. Pia, muongezee ulinzi wa kutosha ni mtu anayepambana na genge la majambazi wa nchi.

Baadhi ya mifumo iliwekwa madhubuti ili kuzuia wizi ila Rais wetu unafumua tu bila ya kuangalia mara mbili , hii ni kutokana na ushauri kutoka kwa watu wako wa karibu ..Kwanza lazima ukubali kama Rais hauwezi kujua kila na uendeshaji wake, mbaya zaidi unategemea washauri ambao kiuhalisia wanakupotosha.

Miongoni mwa mifumo aliyoweka mtangulizi wako ni malipo ya control number , bidhaa muhimu kama madini , nyara serikali (Government trophies) , Mafuta na gasi yaani bidhaa muhimu nchi ziwe zinaondoshwa na kuingia chini ya uangalizi wa wakala serikali ila mlikuja mkavunja huo mfumo bila ya kujua aliyeweka alikuwa na maana gani.

Nchi maskini kama hii unawezaje kuacha madini yasafirishwe na watu binafsi , watu wanaondosha shehena ya madini pale bandari kwa kudanganya thamani halisi ya madini inakuwa chini(under declared customs svalue) hapo serikali inakosa mapato halisi ya thamani ya madini . Tunasikia watu wanatorosha kwenda kenya je , ni kwa namna gani unaacha watu binafsi wanapitisha mpakani bila ya serikali kujua? Wakati huko nyuma mtangulizi wako alikuwa na mfumo mzuri ila wewe ulikuja kudanganywa ukautoa.

Nchi haiwezi kuendelea ikiendeshwa kama timu ya mpira, kila mtu anakuja na mifumo yake ila ukizingatia hata wewe Rais ulikuwe ni sehemu ya mtangulizi.

Magufuli ndiye aliyeleta mambo ya kuteka na kuuwa watu vichakani sijui watanzania tumelogwa vipi hadi kumkumbuka huyu jamaa!
 
Unataka kutuaminisha kwamba Rais wetu hayupo well informed na vyombo vyake vyote vinavyomzunguka.
 
Una uhakika control namba hazipo? Wizi ulidhibitiwa kipindi Cha Magu? Una uhakika?

Kila mtu anakuja na mfumo wake kama upi,weka uthibitisho wa haya madai Yako.

Miaka yote Madini Huwa yanasafirishwa na Serikali? Mbona unaropoka tuu bila utaratibu? Ni lini upotoshaji wa Madini uliwahi isha?

Mwisho pamoja na hayo unayodai wewe kwamba Kuna shida,huoni kwamba Mapato ya Madini yameongezeka mara 2 na sekta ya Madini Sasa inachangia 10% ya GDP na inaongoza Kwa forex?

Unahisi Kipimo chako na madai Yako Yako sahihi kiasi gani ilihali namba zinaongea +ve?
Jenga hoja acha matusi.
 
Back
Top Bottom