Rais Samia unapotoshwa sana, Magufuli alikuwa sahihi sehemu nyingi japokuwa ana makosa ya kibinadamu

Rais Samia unapotoshwa sana, Magufuli alikuwa sahihi sehemu nyingi japokuwa ana makosa ya kibinadamu

Tuabizane ukweli,serikalini hamna ela!
Wakandarasi wanadai hela almost miezi 9!
Wengine washaanza kuiziwa nyumba na mabenki.
Nasoma magazet naona uwekezaji wa trilion 9 ...mapichapicha!hali inazidi kuwa ngumu, wanaua watu, hii ndio kuongeza petrol juu ya moto.
 
IMG_20240911_190421_900.jpg
 
Tuabizane ukweli,serikalini hamna ela!
Wakandarasi wanadai hela almost miezi 9!
Wengine washaanza kuiziwa nyumba na mabenki.
Nasoma magazet naona uwekezaji wa trilion 9 ...mapichapicha!hali inazidi kuwa ngumu, wanaua watu, hii ndio kuongeza petrol juu ya moto.
Raisi anapangiwa safari kila siku wala hatulii , wahuni wanapiga pesa tu .Pale kariakoo watu wnanunua tu majengo tangu Mama iangie .
 
Sana, yaani walijipanga toka mwanzo. Kibaya kabisa walimtengenezea mazingira ya kumchukia Msukuma wa watu Dkt Magufuli, wakati Dkt Magufuli alikuwa anampenda sana kwanza tu kwa kuwa mweupe hahaha. Tumuombee sana Dkt Samia apite 2025.
Mweupe kichwani?
 
Magufuli ndiye aliyeleta mambo ya kuteka na kuuwa watu vichakani sijui watanzania tumelogwa vipi hadi kumkumbuka huyu jamaa!
Wanasema hayo ni “makosa ya kibinadamu tu”! Kwamba kila mtu ana yake. Watu wa ajabu sana.😕
 
Magufuli ndiye aliyeleta mambo ya kuteka na kuuwa watu vichakani sijui watanzania tumelogwa vipi hadi kumkumbuka huyu jamaa!
Umri wako?
Jitahidi kudadisi mkuu kabla hujahitimisha.

Muulize Ulimboka atakwambia utekaji ulianza lini!
 
Bosi usisumbuke, mimi nina nadharia ya kijinga kijinga. Dkt Samia kama mwenzake Dkt Magufuli, tofauti ni kuwa Dkt Magufuli nadhani aliamini ktk ushauri wa TISS na alifanyia kazi report na mapendekezo ya TISS, Dkt Samia nadhani akipelekewa yeye huwa anakuwa na washauri wengine ambao hawampendi maana wanajiona wao ndiyo walimuweka na kumfikisha hapo alipo na hivyo wanahakikisha hafanyi maamuzi sahihi, na inamgharimu urais wake na mpaka sasa chuki kuu imesababishwa na hilo genge ambalo anadhani ni zaidi ya mfumo halisi. Mama yetu, Dkt Samia kazi iliyopo mbele yake ni ngumu sana, ingawa kikundi fulani anashani ndiyo sahihi zaidi na kimekuwa kikimdanganya bila yeye kuona uhalisia. Mfano tu chuki iliyopo kwa wapiga kura ni kubwa sana tena sana ila akina Mchengerwa ndiyo kawaamini hahaha wakimuambia Mama unaupiga mwingi basi anadhani ni kweli. Kwa ujumla tumuombee Dkt Samia maana kama hatopita kama rais 2025 basi inawezekana kama taifa tukawa na hali ngumu sana mbeleni kwa sababu huyo atakayekuja atataka kufumua mifumo yote ya kifisadi ya Dkt Samia na akiwa anafanya hivyo maana yake nchi haitapiga hatua ni kama yeye Dkt Samia alivyofumua ya Dkt Magufuli matokeo yake miaka yake ya urais ameitumia kufumua ya Dkt Magufuli na kujaribu kuonesha yeye ni better kuliko Dkt Magufuli kitu ambacho kimemgharimu sana na kumshushia hadhi yake mbele ya wapiga kura. So ni bora Dkt Samia aendelee ili tuwe na stability ya uchumi angalau mpaka 2030.
Nimejifunza kitu kutoka kwako!
 
Umri wako?
Jitahidi kudadisi mkuu kabla hujahitimisha.

Muulize Ulimboka atakwambia utekaji ulianza lini!
Huhitaji umri na udadisi wowote hapa. Tundu Antipas Lissu ndio ushahidi unaoishi wa vitendo viovu vya Magufuli na watu wake. Hivi unawezaje wewe kuwa na akili timamu kutetea yanayoendelea nchini?
 
Kama wewe unadhani unauelewa kuliko raisi,basi uchaguzi ujao jaza fomu ugombee uraisi,ukishinda uweze kiyafanya hayo mapendekezo yako.
Hizi ndio akili za kiduwanzi za Mtanganyika.
Akili nyeusi kama yeye alivyo mweusi.
Rais ni binadam kama alivyo mleta mada.
Na kukosolewa kupo ili mabadiliko yatokee.
Kuwa Rais haimaanishi wewe ni mwenye akili kuliko raia wote nchini.
Ila ni vile raia walikuamini uwaongoze.
 
Magufuli ndiye aliyeleta mambo ya kuteka na kuuwa watu vichakani sijui watanzania tumelogwa vipi hadi kumkumbuka huyu jamaa!
Acha uzwazwa uliotukuka.
Masuala ya kutekana na kuuana yalikuwepo toka enzi za Hayati Julius Nyerere.
Na hakuna rais ambaye hakuua labda kidogo Ally Hassan Mwinyi.
 
Magufuli ndiye aliyeleta mambo ya kuteka na kuuwa watu vichakani sijui watanzania tumelogwa vipi hadi kumkumbuka huyu jamaa!
Hujui chochote utekaji upo Tangu enzi za rais kabla ya Magu tena. Utekaji ule ulikuwa wa kujiamini kweli kweli sio wa kujificha ficha. 😅
 
Hujui chochote utekaji upo Tangu enzi za rais kabla ya Magu tena. Utekaji ule ulikuwa wa kujiamini kweli kweli sio wa kujificha ficha. 😅
Aliendeleza utekaji na kuufikisha kwenye level nyingine sijui kwanin mtu mwenye akili anashindwa kuona matunda ya ukatili huu hata kwa watu walio bahatika kuishi na kusimulia kama Tundu Lissu.
 
Aliendeleza utekaji na kuufikisha kwenye level nyingine sijui kwanin mtu mwenye akili anashindwa kuona matunda ya ukatili huu hata kwa watu walio bahatika kuishi na kusimulia kama Tundu Lissu.
Unamfahamu Dokta Ulimboka?
 
Acha uzwazwa uliotukuka.
Masuala ya kutekana na kuuana yalikuwepo toka enzi za Hayati Julius Nyerere.
Na hakuna rais ambaye hakuua labda kidogo Ally Hassan Mwinyi.
Sasa si mumsifu Mwinyi ambaye hakuuwa mbona mnamsifu muuaji Magufuli kama nyie sio mmelogwa naye?
 
Magufuli ndiye aliyeleta mambo ya kuteka na kuuwa watu vichakani sijui watanzania tumelogwa vipi hadi kumkumbuka huyu jamaa!
Hapana kabisa Dkt Magufuli hakuleta haya mambo. Kilichotokea ni kikundi cha wahuni fulani fulani kufanya hayo mambo. Dkt Magufuli was a humble man, hakuwa kabisa na chuki wala kisasi zaidi ya kusamehe. Dkt Magufuli ilikuwa unaweza ukamkasirisha na akakutamkia kauli ngumu ila baada ya muda anakutafuta kukuomba msamaha na kukuambia naomba yaishe, yaani Dkt Magufuli alikuwa zaidi ya kiongozi.
 
Sasa si mumsifu Mwinyi ambaye hakuuwa mbona mnamsifu muuaji Magufuli kama nyie sio mmelogwa naye?
Magufuli tunamsifu kwa uweledi wake wa kuibadili hii nchi.
Toka nianze kujielewa sijai ona rais ambaye alikua na uthubutu kama Mafuguli.
 
Hapana kabisa Dkt Magufuli hakuleta haya mambo. Kilichotokea ni kikundi cha wahuni fulani fulani kufanya hayo mambo. Dkt Magufuli was a humble man, hakuwa kabisa na chuki wala kisasi zaidi ya kusamehe. Dkt Magufuli ilikuwa unaweza ukamkasirisha na akakutamkia kauli ngumu ila baada ya muda anakutafuta kukuomba msamaha na kukuambia naomba yaishe, yaani Dkt Magufuli alikuwa zaidi ya kiongozi.
Hivyo vikundi kina nani tena!?
 
Back
Top Bottom