Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

Kumbe wewe ni mtoto hata hujui kuwa aliye muua mkuu wa mkoa wa Iringa alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa na Nyerere akathibitisha humu hiyo na mtu akanyongwa.
Baada ya Nyerere nani alisaini jukumu za kifo? Tunasubiria Chadema waje Wasaini hizo hukimu.

By the way Wasira amesema wao wanaamini.kwenye maridhiano ila huyo mtu wenu kama ni jeuri abakiw huko huko ndani.
 
Makada wanatafuta huruma kwa umma, lissu hawezi kunyongwa kamwe, lissu anafunzwa adabu nzuri na jinsi ya kuutumia mdomo wake kwa manufaa.
 
Atachukiwa na umma au nyumbu!?
Binafsi nitazidi kumpenda kwakutuondolea wakala ukoloni
 
Ningekuwa Lissu ningekubali hatia ya uhaini (plead guilty) ili nione namna Samia ana guts za kusaini hati ya hukumu yangu ya kunyongwa hadi kufa au ni kutishana tu kutafuta leverages za negotiations za gizani.
 
Kwajyo hatutakiwa kitawaliwa na mzanzibari? Anatakiwa nani? Hii dhambi ya ubaguzi mnayotaka nyie watu majinga haitatuacha tukiichelea na ww ndyo mjinga kwl kwl badae itakuja ubaguzi wa mikoa kama sio makabila....! Kuwa upinzani haimaanishi ww ni intellectual unaeza kuipinga serkali na ukawa taahira vilevile
 
Na sisi Watanganyika wajinga sana kutawaliwa na Mzanzibar tunachekelea.
Kwajyo hatutakiwa kitawaliwa na mzanzibari? Anatakiwa nani? Hii dhambi ya ubaguzi mnayotaka nyie watu majinga haitatuacha tukiichelea na ww ndyo mjinga kwl kwl badae itakuja ubaguzi wa mikoa kama sio makabila....! Kuwa upinzani haimaanishi ww ni intellectual unaeza kuipinga serkali na ukawa taahira vilevile
 
Kwanini unapoteza muda wako kuomba favor isiyohitajika? Kesi yenyewe ya kumkuta Lissu na hatia iko wapi? Hata kama itapangiwa judge kada wa CCM, Court of Appeal of Tanzania itatengua hukumu ya kijinga itakayotolewa na huyo judge!
Kwa hiyo mnampotezea muda tu??
 
Kama ametenda kosa ni sawa ,uzuri hakuna hukumu ya kifo imewahi tekelezwa baada ya Nyerere Hadi hapo Rais wa Chadomo atakapokuja maana ndio wanasema watawanyonga mafisadi na wahaini.
Hata kifungo cha maisha haitakubalika, Lissu sio mhaini, hapaswi kuwa gerezani kwa sababu yoyote ile.
 
Baada ya Nyerere nani alisaini jukumu za kifo? Tunasubiria Chadema waje Wasaini hizo hukimu.

By the way Wasira amesema wao wanaamini.kwenye maridhiano ila huyo mtu wenu kama ni jeuri abakiw huko huko ndani.
CHADEMA wakija wataiondoa kabisa sheria ya kuhumu watu kunyongwa mpaka kufa,hawatakuwa na maigizo kama haya sheria ya kunyonga ipo palepale watu wanahukumiwa kunyongwa, hao hao walioikumbatia sheria ya kunyonga wanajivalisha utakatifu wa bandia kwa kukataa kusaini hukumu ya kunyongwa wakati kisaikolojia wanakuwa wamesha kunyonga na isitoshe aliye hukumiwa adhabu hiyo atakuwa ni wa gerezani na atafia gerezani.
 
Subiri mahakama ndio itaamua hatuwezi kumwacha mtu anayetishia uvunjifu wa Aman eti kisa yeye anatokea upinzani.hii nchi ikiharibika sisi tutakimbilia wapi?
 
Ukweli ni kwamba, njia aliyokuwa akitumia Mtangulizi wake ilikuwa imejifunga. Yeye kaamua kutumia gharama kubwa kuhakikisha anairejesha njia ile ile. Na sasa yuko katikati ya njia kuelekea kule kule alikolenga Mtangulizi wake. Je atatoboa?? Mungu ni yule yule jana leo na kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…