Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
-
- #101
Samia ni katili sana tu. Anajificha kwenye jinsia yake, dini yake na Uzanzibari wake akiaambiwa anakosea mfano kuuza bandari, kuwafukuza Wamasai, kuuza misitu, tozo, ufisadi, mikopo ya hovyo, teuzi za hovyo, rushwa, kuua demokrasia ndani ya chama chake na kwa wapinzani wake.
Hayo anayoyafanya angekuwa Ruto, Museveni, JPM, Kagame watu wote wangepiga kelele sana hata Zitto, Mbowe. Hana tofauti na hao ila yeye hana vision yoyote, hana uzalendo wowote anautaka urais kwa ajili ya mamlaka, pesa, kutanua, kusafiri.
KabisaWatanganyika tuamke,haiwezekani watu kutoka nchi za mbali waweza na mamlaka ya kutoa uhai wa watanganyika wenzetu,nasi tupo tumekaa,tuseme yatosha
Ni suala la muda tuAlipoingia madarakani baada ya kifo cha JPM sikudhani kama anaweza kuwa Insensitive kiasi hiki
...huruma alionewa huko nyuma. Kwa sasa hapa ni kazi tu, na kazi iendeleeSuala la kumnyonga Lissu halipo, hayo ni maneno ya kutapatapa ya chadema ili kuzua taharuki na kutaka kuonewa huruma.
Aupate ujumbe huu.Kauli zake ni za hovyo sana!
Dhamira yake sio nzuri kwa nchi!
Amejaa tamaa ya madaraka na kiburi,mtu asiyemcha Mungu,anaongozwa na hisia zaidi kuliko akili,anaweza kuhamasisha machafuko kwa wapumbavu kama yeye,hafai kabisa kuaminiwa hata kidogo