Rais Samia, unawajua Wakenya?

Nguvu ya serikali ingekuwa kutafuta masoko na ku set standards tu basi watu wawezeshwe kuzalisha bidhaa bora na soko liwepo la uhakika huko nje!

Ila kuboresha process hawataki wanakimbilia shorcut za kualika wawekezaji kutoka nje! Tena bora mzungu awekeze maana wanalipaga vizuri kuliko ngozi nyeusi maana watu watafurahia kupata ajira kumbe ni vibarua vya kulipwa elfu 5 kwa siku nzima! Upumbavu ulioje!

Hao wa Kenya wanao export wao wanatumia mbinu gani kupata hayo masoko nje? Je, wao wana pesa ambazo sisi hatuna? Wao wana uwezo mkubwa wa ku Lobby ambao sisi tunaushindwa? Tumekazania wachina ni ndugu zetu, Wakenya ni ndugu zetu! We have to learn on how they do it!

Bongo itaendelea kuwa nchi ya hovyo tu na siasa za kipumbavu mithili ya demu mrembo anaedanganywa ataolewa na kugongwa na kila mjanja na kuachwa huku miaka inaenda tu!
 
Mazingira yapi Hayati alianzisha kuwafanya Watanzania kuwa Mabilionea, zaidi sana tulikuwa tunasikia vilio biashara zikifungwa kila kukicha.
 
Nilikuwaga nakuheshimu leo heshima yangu kwako naiweka chini. Unaogopa kenya kama Marekani?
 
Chief, nimesema hayo yote yafanyike kwa utaratibu, biashara zote zinafanyika kwa ujanja, hata sisi Watanzania wenyewe kwa wenyewe tunafanyiana biashara kiujanja, chukulia mfano mdogo tu kwamba Diamond anawanyonya waliochini yake, wengine wanasema marehemu Ruge alikuwa anazulumu wasanii, huo ndio mwendo wa biashara, hatuwezi kuogopa kuingia kwenye ushindani kwa sababu hao Wakenya wapo na watakuwepo tu, cha msingi tuweke sheria madhubuti na viongozi wetu wazisimamie inavyotakiwa.
 
Kea Nini hujazungumzia Watanzania kama wewe kwenda kufanya kazi na biashara kenya freely?
 
Mazingira yapi Hayati alianzisha kuwafanya Watanzania kuwa Mabilionea, zaidi sana tulikuwa tunasikia vilio biashara zikifungwa kila kukicha.

Mwenye macho haambiwi .... na Mwenye masikio haambiwi ...

Yafuatayo ni baadhi ya mazingira wezeshi ya kutengeneza mabilionea:
√ Kutekelezwa kwa miradi ya kimkakati yenye tija kubwa katika uchumi na
ustawi wa jamii;
√ Ujenzi wa miundombinu ya kisasa utakaochochea kukua kwa kasi kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla;
√ Kuimarishwa kwa mifumo ya udhibiti, usimamizi na umiliki wa rasmali za nchi zitumike kwa ajili ya Watanzania; na
√ Kuboreshwa kwa Huduma za Jamii (afya, elimu, maji, nishati) kiasi cha kuwawezesha wananchi kufanya shughuli zao za maendeleo
 
Mkuu, sijawahi kukuchafua, Tatizo ulini misunderstand
 
Mkuu,huwajui Wakenya na Wachina pia huwajui...
 
Acha woga wa kitoto. Km unawaogopa wakenya tu hv huko ulaya unaweza kufanya nao biashara?
 
hujaongea chochote cha maana zaidi ya kulalama kama kawaida ya wamandingo.....sasa unawaogopa wakenya mpaka lini?
 
Rais dhaifu kuwai kutokea TANZANIA....Muda utasema ukweli.
 

Mama anawajua Wakenya kuliko wewe kwani yeye alikuwa ni sehemu ya Kenya.

Unajua kuwa Mombasa ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar hadi 1963 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…