Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Sasa kama hatuna migodi ya Tanzanite na tunaongoza kuuza hiyo bidhaa, hujiulizi wewe, imefika vipi KE, imetoka kwa nani(source) huko Tz na faida au hasara inagawanywa vipi?Tatizo lenu mna janja janja nyingi sana.
Unakumbuka kipindi cha nyuma Kenya ilikuwa inaongoza kwa kuuza tanzanite, vipi mna machimbo ya hayo madini huko kwenu?
Tunataka kufanya biashara na nyie ila kwa umakini wa hali ya juu...sio kwa ulegevu aliouonyesha mama.
Hapo ndipo utajua uhuni uko wapi, sio kusingizia ati tu KE wanjanja ilhali hamjachunguza huko kwenyu. Hakuna pahali pasipokuwa na wajanja.