technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kwani unataka ashinde tena muhula.mwingine?Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega
Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!
kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!
Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?
je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?
una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?
una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?
Rais Samia be careful !!
😄😄😄😁😄Usimfanye Lucas Mwashambwa aanze kuharisha kwa hofu.
Hana source zozote za information anadanganywa tu wakina rajabu dailySiku hizi zile safari kapunguza naona anamtuma JK.
Hao ndio wanamuweka ofisini, lazima awasikilize, ndio watu wake wa karibu.Hana source zozote za information anadanganywa tu wakina rajabu daily
acha upotoshaji wa kivivu namna hiyo gentleman,Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega
Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!
kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!
Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?
je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?
una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?
una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?
Rais Samia be careful !!
Kwa vile sijui kinapangwa nini gizani siwezi kushabikia kisiwe kibaya kuliko hili la mama kupora ugombea urais. Wanaccm wengi kwa uhakika tulitaka kuona mgombea mlengo wa kimagufuli mama na nchimbi wake wakatuchezea rafu. Tuna hofu ya wizi wa umma kurejea kwa kasi na nchi kuuzwa kwa waarabu. Mungu tuhurumie.Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega